Qudus English Medium Primary School yashinda vizuri katika matokeo ya mtihani wa darasa la nne ndani ya manispaa ya Bukoba ambapo kuna shule binafsi za mfumo wa kiingereza na kiswahili nkongwe na zenye mbinu kabambe za ufunishaji imekuwa shule ya tatu. Shule hii yenye kumilikuwa na waislamu ni mpya na huu ndo ulikuwa mtihani wa kwanza wa kitaifa hii shule changa kuufanya lakini Mungu ni mkubwa shule hii imeshinda vizuri na watoto wote wana Alama za "A". Sheikh Musa Abeid ambaye ni mwalimu pale na imamu wa msikiti Markaz Kashai amesema baada ya sala ya Alfajiri kuwa wanafunzi wote wamepata "A" na kumshukuru Allah(SW) na kuwashukuru walimu wanaofundisha kwa moyo wa kujituma wakiwa na Mwalimu Mkuu mzoefu Mwalimu Elias Kateme, huyo mwalimu akiwa na timu yake ya walimu hawana budi kushukuru Allah ili aongeze ufanisi kutokana na juhudi zao ili hatimaye mitihani ijayo wawe wa kwanza Insha Allah.
Sasa na la saba imepata A nyingi na B+ tu, jamani tuwaunge mkono viongozi wa Shule hii na Allah atawasaidia na kuwapa hekima zaidi na subira kwani kuongoza shule za jamii ni kazi.

WhatsApp :+255621870342. Muabudu Mungu mmoja wa Pekee na hana mshirika, Hakuna Mtume aliyetumwa kama Mungu wala Mwana wa Mungu. (Qur'ani) Al Imran 3.31,Yohana 7.16-18. Shetani na kundi lake miongoni mwa wanadamu amejizatiti kuwapotosha watu kupitia shida mbali mbali. Imani kuhusu Mungu mmoja wa pekee ndo suluhisho la kudumu na kuishi na matumaini hapa duniani. Wasiliana nasi upate ushauri na tiba WhatsApp :+255621870342, Email: tibaherbs@gmail.com, +255 762053174
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Naomba kupewa mawasiliano ya mkuu wa shuke ya Qudus pre and primary school ili anifafanulie utaratibu wa kusajili mtoto wangu hapo. Jina langu Idrisa nipo Musoma. Ahsante.
ReplyDeleteNaomba kupewa mawasiliano ya mkuu wa shuke ya Qudus pre and primary school ili anifafanulie utaratibu wa kusajili mtoto wangu hapo. Jina langu Idrisa nipo Musoma. Ahsante.
ReplyDelete