Sunday, December 4, 2011

Uchawi na Madhara yake

Bismillah Rahman Rahiim
Uchawi ni ujuzi haramu wanaoutumia wanadamu kwa kushirikiana na sheytwani kuwadhuru wanadamu wenzao ama kwa kuwadhuru kifikira na kimwili kwa sababu za matashi ya nafsi zao hao wachawi, chanzo kikubwa cha uchawi ni husuda na tamaa. Wachawi wako sehemu mbalimbali kwenye miji na vijijini, tunashuhudia mashetani na majini yapanda watu na kuanza kuleta vurugu na kudai mambo chungu nzima ya kumshirikisha Allah(SW), hii imeongezeka sana katika zama hizi kila kukicha kunatokea matukio ya kishirikina kazini, kwenye familia, maeneo ya biashara, mashuleni, nk.

Uislam umezuia uchawi na kumtii sheytwani kwa hali yoyote ile na mchawi ni mshirikina anayeshirikiana na sheytwani kumuasi Allah(SW), miongoni mwa wanadamu wapo wanaofanya mikataba ya ushirikiano kati ya sheytwani na jeshi lake kufanya ufisadi katika ardhi. Mchawi lazima afanye yale machafu yanayopendwa na sheytwani kama uzinifu, kuchinja kwa ajili ya sheytwani, kutembea usiku uchi na kufanya ibada kwenye makaburi na kuweka sadaka kwenye sehemu za njia panda na milimani ili mradi akufuru sana na sheytwani afurahi ndipo amuitikie mchawi na ampe nguvu za kupaa, kuingia kwenye nyumba wakati imefungwa n.k.


Mchawi hafiki popote kwa mujibu wa aya za Qur'an Allah anasema mchawi afike popote na hii tunaona Musa(AS) alipambana na wachawi kwa uwezo wa Allah walishindwa na wakawa wadogo na wengine wakasilimu, ndugu muislam mchawi anateseka na majini yake wakati akiendelea kuyatii na kumuasi Allah(SW) kwani yatamwambia fanya hiki mara hiki na mpaka yanaweza kumuomba mtoto wake na mke wake kufanya naye zinaa ili mradi mchawi akufuru na apotee zaidi na azidi kupotea kwani ni nipe nikupe.

Namna gani kujilinda na uchawi na wachawi?
Muhimu kuwa na Imani kuwa Allah ni mmoja na mtume Muhamadi ni mjumbe wake hana mshirika isipokuwa yeye Allah huamua kila jambo kuwa na hilo jambo huwa, soma uislam vizuri ujue namna ya kutawadha vizuri na kusali swala tano vizuri, kaa na udhu muda wote, soma Qur'an kila asubuhi baada ya swalatil fajiri na baada ya salatil Ishah, soma ayatul Qurusiyu wakati wa kulala na lala na udhu na puliza viganjani mwako na weka karibu na mdomo na somea kwenye viganja vyako suratil ikhlaswi x 3, nasi x 3 na falaq x 3 kisha jipake mwili mzima x3 utakapoweza kufikisha viganja. Lala na nia ya kuamka na kusali subuhi au tahajudi na Allah atakulinda Insha Allah na kila jambo baya wakiwemo wachawi na masheytwani.
Hakikisha unasoma au kuweka CD ya Qur'an kwenye nyumba yako mara kwa mara na hasa Suratil Baqarah ili kufukuza masheytwani ndani ya nyumba kwani nyumba inayosomwa qur'an sheytwani haimili kukaa, ondoa picha za viumbe kama wanyama, wanadamu ndani ya nyumba na kwenye kuta za nyumba kama zipo kwani malaika hawaqingii kwenye sehemu zenye masanamu na picha za viumbe zilizotundikwa waziwazi, usiweke mahirizi kwenye nyumba yako na usipige miziki na michezo ya kuigiza yenye kupotosha na watu walio uchi kuangalia ndani ya nyumba.
Waamrishe watu wa nyumbani kwako wasali sala tano na sunna za swala.
Sali sala za usiku na funga za sunna
Toa sadaqa kwa wajane, maskini, mayatima na kuendeleza misikiti kadiri ya uwezo wako
Jitahidi kuepuka na vikao vya usengenyaji na fitina na dumu na dhikri muda wote kimoyomoyo hata ukiwa kazini na safarini. Hii kwa uwezo wa Allah ni njia tosha ya kuzuia sheytwani na wachawi kukuchezea na watakuwa wamekata tamaa ukiendelea hivyo na kuachana na wewe kabisa Insha Allah.

Mawasiliano ya simu: +255 762053174/+255621870342, Email: tibaherbs@gmail.com


MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 

 POWERFUL SOAP-Sabuni yenye madawa yenye nguvu kuondoa athari za nguvu za giza kama mikosi na nuksi. Unaoga na intoa povu jingi pia ngumu haiishi haraka.


1.POWERFUL OIL



HAYA MAFUTA YANATIBU:

  • KUONDOA NGUVU ZA GIZA
  • KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
  • KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
  • KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
  • KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
  • KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
  • KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32

 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.
UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
  • UCHAWI ULIOKO MWILINI
  • KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
  • KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO 
  • KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
  • MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
  • KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
  • KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO


MT32


4.SAFISHA


 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).

Sasa dawa hii ina faida hizi:
  • Kupunguza uzito
  • Kuondoa uchafu tumboni
  • Kusaidia kupata choo
  • Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
  • Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
 KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI

Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.

USHAURI NA TIBA

Mawasiliano ya simu: +255 762053174/+255621870342, Email: tibaherbs@gmail.com

No comments:

Post a Comment

CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA