Shirika la kiislamu kwa ajili ya kuanzisha miradi mkoani Kagera liitwalo KIDO limefungua shule za sekondari katika wilaya ya Bunazi sehemu ya Kabwoba na Karagwe sehemu ya Kagenyi Lubwera. Vituo hivyo vinaonyesha kufanya vizuri chini ya uongozi wa Mwenyekiti Mzee Ibrahimu Bigwomunda akisimamia mradi wa KIDO Boarding Institute Karagwe ikiwemo Primary-English Medium and Secondary na Mkurugenzi Shahidu Idd Msafiri akisimamia Bunazi Kabwoba KIDO projects ikiwemo Kabwoba English Medium Primary School na Kabwoba Secondary School.
Tunaomba wananchi wapenda maendeleo waunge mkono juhudi za shirika hili ili liweze kuleta maendeleo zaidi mkoani Kagera.

WhatsApp :+255621870342. Muabudu Mungu mmoja wa Pekee na hana mshirika, Hakuna Mtume aliyetumwa kama Mungu wala Mwana wa Mungu. (Qur'ani) Al Imran 3.31,Yohana 7.16-18. Shetani na kundi lake miongoni mwa wanadamu amejizatiti kuwapotosha watu kupitia shida mbali mbali. Imani kuhusu Mungu mmoja wa pekee ndo suluhisho la kudumu na kuishi na matumaini hapa duniani. Wasiliana nasi upate ushauri na tiba WhatsApp :+255621870342, Email: tibaherbs@gmail.com, +255 762053174
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA