Sunday, December 4, 2011

Walokole washirikiana na Sheitani kupotosha Waislam

Walokole wanatumia mikusanyiko yao kuombea wagonjwa na watu wenye matatizo ya kiuchumi na shida mbalimbali, hii inapelekea kudai kuwa wanatoa majini na mapepo ndani ya miili ya wagonjwa kwa kutumia jina la Yesu na kumuita Mungu na ikiwa hiyo ni kufuru kumuita Yesu Mungu na hali wakijua kuwa alitumwa na Mungu kufanya kazi yake ya kuwatoa katika upotovu waisraeli.

Namna Walokole wanavyowapotosha waislam na watu wengine
Tujue kuwa sheitani ana ujanja mwingi wa kupoteza, kwanza kwa wagonjwa wenye majini na mapepo ambayo ni majeshi ya sheitani, Mchumgaji wa kilokole akianza kutumia maneno ya kumshirikisha Allah(SW) kama Toka kwa jina la Yesu badala ya kutoka kwa uwezo wa Mwenyezimungu jini au mapepo yatatoka haraka ili watu wanaoangalia na yule mgonjwa waamini kuwa ulokole ni dini ya kweli na Mchungaji ni Mtu wa Mungu kweli na anayofanya ni sahihi kumbe hakuna ni ujanja wa sheitani ili apoteze wengi kwa kupitia njia hiyo.
Hii inatokana na mkataba wa sheitani na washirikiana kuwapoteza watu kwa njia ya kuwatesa kwanza kisha kuwaachia kwa kupitia kemeo la wachungaji wa kilokole, tunajua kuwa Mungu ana uwezo wa kufanya atakavyo bila kupitia kwa kiumbe chochote na Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na hakuna kinachomfanana na akitaja jambo liwe huamuru na jambo hilo huwepo kama atakavyo. Mungu hana mshirika wala mshauri ila yeye anajitosheleza kwa kila kitu, hawa walokole wajue kuwa inapashwa kumuomba Mungu moja kwa moja pindi tunapokuwa na shida yoyote.

Uislam unasisitiza kuwa Mungu hana mshirika na ni muweza wa kila kitu kwahiyo wanaodanganywa kuwa Yesu ndiye mponyaji wakaamini wanakufuru ila Yesu(Issa (AS) ni mtume wa Mungu kwa waisralei na alipewa injili ambayo waislam tuna amini kuwa ni kitabu kutoka kwa Mungu ila Injili ya sasa imefanywa marekebisho yenye kupotosha watu, kwa hiyo isome kwa makini.
Uislam ndo dini sahihi kwa sababu inahakiki kuwa mitume wote akiwemo Musa, Yesu, n.k ni mitume wa Mungu walitumwa na Mungu lakini wao si Mungu hata kidogo na kuponya ni kwa Mungu pekee yake kupitia katika sababu mbali mbali kama madawa, maombi sahihi ya Ruqya au dua kwa mujibu wa Qur'an Na Mafundisho ya Mtume(SA).

OFISI YETU

TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM VINGUGUTI. UKIFIKA BUGURUNI SHEL SHUKA NA UPANDE MAGARI YA KWENDA VINGUGUTI , TELEMKA KITUO CHA POLISI KIITWACHO MTAKUJA. OFISI YETU IPO KARIBU NA NEW KINYUMA HOTEL.
UKIPANDA PIKIPIKI KUTOKA BUGURUNI SHEL NI SH 1,500/= TU KUFIKA OFISINI.

KWA MAELEZO ZAIDI TUMIA MAWASILIANO HAYA:

+255712708655/+255713916386

Sheikh wakusoma kisomo cha Ruqya na Dua. Simu.+255 785708655

Email: tibaherbs@gmail.com

No comments:

Post a Comment

CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA