Mwenyekiti wa KIDO Karagwe Mzee Ibrahimu Bigwomunda amesema tayari ameishapata walimu wenye Shahada za chuo kikuu kusimamia na kufundisha shule mpya ya sekondari ya KIDO wilayani Karagwe, amesema kuwa kwa uwezo wa Allah(SW) hatarajii kurudi nyuma katika kuhakikisha anaendeleza miradi ya KIDO akiwa na viongozi wa KIDO kwa ujumla. Uongozi wa KIDO karagwe umeisha muunga mkono katika hili kwani Primary ya KIDO Karagwe kwa sasa imeweza kuhitimisha watoto wa darasa la saba na wanategemea kujiunga kidato cha kwanza. Shule hizi za KIDO ni shule zinazofundisha masomo ya dini ya kiislamu kikamilifu na adabu njema za kiislamu na masomo ya kawaida ya kimazingira, kwa hiyo mtoto akitoka katika shule hizi za KIDO atakuwa amepata bahati ya kujua uislamu wake vizuri na dunia yake vizuri.
Shule zinatumia Lugha mbili za Kimataifa katika kufundisha yaani Kiarabu na Kiingereza

WhatsApp :+255621870342. Muabudu Mungu mmoja wa Pekee na hana mshirika, Hakuna Mtume aliyetumwa kama Mungu wala Mwana wa Mungu. (Qur'ani) Al Imran 3.31,Yohana 7.16-18. Shetani na kundi lake miongoni mwa wanadamu amejizatiti kuwapotosha watu kupitia shida mbali mbali. Imani kuhusu Mungu mmoja wa pekee ndo suluhisho la kudumu na kuishi na matumaini hapa duniani. Wasiliana nasi upate ushauri na tiba WhatsApp :+255621870342, Email: tibaherbs@gmail.com, +255 762053174
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA