Nimetumiwa na Yahya abdulkarimu hizi adhabu 15 za mtu asiyeswali nami nikaona niziweke kwenye mtandao ili waislamu wengine wazisome na wajiepushe na uzembe wa kutoswali ili wasijepata adhabu hizi!
- Uhai wake huondoshewa baraka
- Huodelewa katika waja wema
- Matendo yake hayana malipo
- Dua zake hazijibiwi
- Ulaaniwa na kila kitu
- Hana fungu katika dua za waja wema
- Ufa na njaa kali wakati wakutoka roho
- Ufa dhalili
- Ubanwa na kaburi
- Kaburi lake uwashwa moto
- Ufa na kiu kikali wakati wa kutoa roho
No comments:
Post a Comment
CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA