Thursday, December 29, 2011

Kwa nini wanadamu tunakufa?

Kwa mujibu wa Qur'an tukufu tunakufa ili kwa yule aliyefanya mambo ya kheri alipwe kwa kiwango alichofanya anasema Allah(SW) kuwa Alaqa li mauti wali hayata li yabuluwakum hayyukum ahsana a'mala Tafsiri ameumba mauti na uhai ili yule aliyefanya heri zaidi alipwe kwa mujibu wa yale aliyofanya.
Kwa hiyo tujitahidi kufanya mambo ya kheri ili tulipwe kila la kheri na tupate radhi za Allah na baada ya kufa tulipwe pepo na kwa rehema zake tupate msamaha wake.
Wanadamu duniani wamesinzia wakifa wanaamka ina maana kila mwanadamu akifa anapata uhakika wa yote aliyokuwa anaambiwa kuwa atakutana nayo baada ya kufa na anahojiwa na malaika wa kaburini na hapo ndipo anaamini lakini wapi imani ukishaingia kaburini ni kazi bure na kila amali imefungwa isipokuwa zile ulizofanya kabla ya kufa. Huku ndio kuamka lakini unaamka wakati umeisha kufa na kujilaumu sana baada ya uhakika ukiwa kaburini, mimi nashauri tuamke mapema kabla ya kufa ili wakati wa mauti yetu tuwe tumejiandaa ipasavyo hapa duniani kabla ya kufa na ndo ufanisi mkubwa. Kila siku tuwe tunahesabu amali zetu ili tuwe wepesi wa kudhibiti nafsi zetu na hatimaye tupate radhi za Allah kwa kufuata maamrisho yake kutoka ndani ya Qur'an na Mafundisho ya Mtume Muhamad(SAW).

Tiba sahihi ya magonjwa yasiyopata majibu kisayansi ni maombi na madawa ya kunywa na kujipaka.

  • Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
  • Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
  • Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
  • Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
  • Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
  • Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
  • Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
  • Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
  • Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
  • Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
  • Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
  • Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
  • Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
  • Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
  • Kuongea usiku na kupiga kelele
  • Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
  • Kuota uko msituni mara kwa mara
  • Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
  • Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
  • Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
  • Kuota uko makaburini mara kwa mara
  • Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo
  • Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
  • Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
  • Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla

Dalili hizo ni za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini yanayokusumbua ya kiuchawi

Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.

Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.

Dawa nyingine za kunywa ni hizi:

Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.

 MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
  1. POWERFUL OIL
  2. MT32
  3. SAFISHA

MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 

1.POWERFUL OIL

HAYA MAFUTA YANATIBU:

  • KUONDOA NGUVU ZA GIZA
  • KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
  • KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
  • KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
  • KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
  • KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
  • KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32

 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.

UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
  • UCHAWI ULIOKO MWILINI
  • KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
  • KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO 
  • KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
  • MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
  • KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
  • KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO

3.SAFISHA

 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).

Sasa dawa hii ina faida hizi:
  • Kupunguza uzito
  • Kuondoa uchafu tumboni
  • Kusaidia kupata choo
  • Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
  • Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
 KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI

Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.

OFISI YETU

TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM.

Contacts:
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255764041507/+255717147649

Dar es Salaam, Tanzania.

Saturday, December 24, 2011

Qudus English Medium Primary School yashinda vizuri katika Manispaa ya Bukoba.

Qudus English Medium Primary School yashinda vizuri katika matokeo ya mtihani wa darasa la nne ndani ya manispaa ya Bukoba ambapo kuna shule binafsi za mfumo wa kiingereza na kiswahili nkongwe na zenye mbinu kabambe za ufunishaji imekuwa shule ya tatu. Shule hii yenye kumilikuwa na waislamu ni mpya na huu ndo ulikuwa mtihani wa kwanza wa kitaifa hii shule changa kuufanya lakini Mungu ni mkubwa shule hii imeshinda vizuri na watoto wote wana Alama za "A". Sheikh Musa Abeid ambaye ni mwalimu pale na imamu wa msikiti Markaz Kashai amesema baada ya sala ya Alfajiri kuwa wanafunzi wote wamepata "A" na kumshukuru Allah(SW) na kuwashukuru walimu wanaofundisha kwa moyo wa kujituma wakiwa na Mwalimu Mkuu mzoefu Mwalimu Elias Kateme, huyo mwalimu akiwa na timu yake ya walimu hawana budi kushukuru Allah ili aongeze ufanisi kutokana na juhudi zao ili hatimaye mitihani ijayo wawe wa kwanza Insha Allah.

Sasa na la saba imepata A nyingi na B+ tu, jamani tuwaunge mkono viongozi wa Shule hii na Allah atawasaidia na kuwapa hekima zaidi na subira kwani kuongoza shule za jamii ni kazi.

Thursday, December 22, 2011

Waislam Tanzania walalamikia ubaguzi wa Kidini yaani Mfumo Kristo

Kutokana na hali  halisi ya kihistoria ambapo mfumo wa elimu uliongozwa na madhehebu ya kikristo hasa kanisa katoliki na kanisa la kilutheri tangia mkoloni mpaka kipindi hasa cha Mwalimu Julius Kambarage nyerere mkatoliki imekuwa hali ya kuwabagua waislamu katika nafasi za masomo na madaraka katika ngazi za juu na za chini.
Waliokuwa wanafaidika sana sana ni wakristo na mpaka leo hii ipo na iko wazi katika kuingia vyuo vikuu na kusailiwa katika kazi muhimu ndani ya idara za serikali, hii waislamu wameipa jina kuwa ni mfumo kristo hii inaonyesha kuwa waislamu wameanza kusema wazi wazi kuhusu ubaguzi huu wa ujanja katika huduma muhimu za jamii na kufanya jamii ya kiislamu kuwa nyuma na kuwa kama daraja la mwisho katika jamii ya kitanzania hata kama ni wengi kiidadi.
Serikali inabidi iangalie kwa makini suala hii na viongozi waliopewa dhamana za kuongoza nchi wawe waadilifu na wawe wasikivu na wafuatilie na wasikalie katika propagana za vyombo vya habari ati waislamu walalamikaji na wakorofi na hawakusoma, hii ndio kauli zinazotolewa na wale wenye kukumbatia na kubariki mfumo huu haramu waislamu wanaouita mfumo kristo.

Tiba sahihi ya magonjwa yasiyopata majibu kisayansi ni maombi na madawa ya kunywa na kujipaka.

  • Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
  • Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
  • Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
  • Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
  • Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
  • Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
  • Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
  • Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
  • Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
  • Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
  • Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
  • Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
  • Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
  • Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
  • Kuongea usiku na kupiga kelele
  • Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
  • Kuota uko msituni mara kwa mara
  • Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
  • Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
  • Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
  • Kuota uko makaburini mara kwa mara
  • Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo
  • Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
  • Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
  • Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla

Dalili hizo ni za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini yanayokusumbua ya kiuchawi

Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.

Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.

Dawa nyingine za kunywa ni hizi:

Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.

 MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
  1. POWERFUL OIL
  2. MT32
  3. SAFISHA

MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 

1.POWERFUL OIL

HAYA MAFUTA YANATIBU:

  • KUONDOA NGUVU ZA GIZA
  • KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
  • KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
  • KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
  • KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
  • KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
  • KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32

 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.

UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
  • UCHAWI ULIOKO MWILINI
  • KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
  • KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO 
  • KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
  • MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
  • KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
  • KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO

3.SAFISHA

 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).

Sasa dawa hii ina faida hizi:
  • Kupunguza uzito
  • Kuondoa uchafu tumboni
  • Kusaidia kupata choo
  • Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
  • Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
 KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI

Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.

OFISI YETU

TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM.

Contacts:
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255764041507/+255717147649

Dar es Salaam, Tanzania.

Monday, December 19, 2011

Wanawake wa Kiislamu Bukoba chini ya Baraza kuu la waislamu Tanzania waazimia kujenga Hospitali ya Wanawake na Watoto

Hii ni habari njema kuona wanawake wakiislamu mjini Bukoba wameamua kuanzisha mchakato wa ujengaji Hospitali kwa ajili ya wanawake na watoto ili kutimiza wajibu mojawapo ya kijamii na kuwaeleza watu wenye kuwaunga mkono wawaunge mkono wa kimawazo, hali na mali ili watimize mpango wao huu mzuri.
Insha Allah tunaomba muwaunge mkono ili Hospitali isimame na Allah atalipa kila juhudi ya mtu kwani afya ni jambo la msingi na bila afya mambo yote yanakwama na hayafanyiki kwa ufanisi kwani hata mtume wetu alikuwa anaomba Allah amjalie afya ili aweze kufanya ibada na amali mbalimbali. Kwa hiyo hawa wakina mama wamegusa kitengo muhimu cha kuwezesha waislamu na watu wengine wapate huduma ya afya na hatimae wawe na nguvu za kufanya mambo mengine ya kijamii na kumcha Allah ipasavyo.

Thursday, December 15, 2011

Ubora wa LAA ILAHA ILLA LLAH na matumizi yake-Waadhi na Ust. Faraji Ahmad akiwa Msikiti wa Markaz Kashai(15/12/2011)

Assalam Aleikum.
Nimeona nifikishe nami ujumbe huu alioutoa ndugu yetu katika dini Ust Faraji Ahmad mjini Bukoba baada ya sala ya Magharib.
Alielezea kuhusu umuhimu wa LAA ILAHA ILLALLAH na matumizi yake katika kumtaja ALLAH(SW).
Amesema kuna baadhi ya waislamu wanaitumia visivyo wanapokutana na baada ya salamu mmoja wapo anakanusha bila kuthibitisha upweke wa ALLAH na mwengine anamalizia kwa kuthibitisha upweke wa ALLAH bila kuthibitisha mfano wa kwanza anasema: LAA ILLAHA na wapili anasema ILLA LLAH hii ni kosa na inatakiwa wote waseme LAA ILAHA ILLALLAH.

Ustaz Faraji Abdallah amenukuu Hadithi sahihi hadith li Qudus inayotajwa uzito na ubora wa  LAA ILAHA ILLALLAH
  Kwa muhtasari hadith inaelezea ubora wa  LAA ILAHA ILLALLAH kwa kuchukua vyote vilivyomo katika mbingu saba na ardhi saba bila kumuweka Allah katika vitu hivyo basi ukaweka upande mmoja wa mzani wa kupima uzito na upande mwingine ukaweka  LAA ILAHA ILLALLAH basi  LAA ILAHA ILLALLAH itazidi hivyo vitu vyote vilivyoko katika mbingu saba na ardhi saba kwa uzito. Hii inaonyesha umuhimu wake na akasema Ust Faraji Ahmad kuwa ni bora kutajwa  LAA ILAHA ILLALLAH mara kwa mara kwani hata wakati wa kukata roho kwa mja mwenye kujitahidi kumcha ALLAH akitamka  LAA ILAHA ILLALLAH ikawa ndo kauli yake ya mwisho wakati wa kutoka roho ataingia peponi moja kwa moja.
Tunaomba ALLAH atujalie tumkumbuke mara kwa mara kwani kumtaja ALLAH ni jambo kubwa na lenye kuhuisha imani na kuirejesha katika fikra za Muumba wa kila kitu mara kwa mara.
Kalima hii inakanusha kuwa hakuna Mungu nwingine isipokuwa ALLAH mmoja peke yake na hana mshirika.
Hadithi kuhusu LAA ILAHA ILLALLAH: Li kulli shay'in miftahun wa miftahu al-jannati shahadatu an La ilaha illallah 
  Tafsiri: Kila kitu kina ufunguo na ufunguo wa Pepo ni Kushuhudia kwa kalima ya  LAA ILAHA ILLALLAH
kama una tatizo ya kiafya kama uchawi na majini njoo DSM Kwenye ofisi yetu Vinguguti
Simu

+255712708655/+255713916386

Sheikh wakusoma kisomo cha Ruqya na Dua. Simu.+255 785708655

Wednesday, December 14, 2011

ADHABU 15 KWA ASIYESWALI-ZIMEKUSANYWA NA YAHYA ABDULKARIMU KAYANGA KARAGWE

Assalamu Aleikum.
Nimetumiwa na Yahya abdulkarimu hizi adhabu 15 za mtu asiyeswali nami nikaona niziweke kwenye mtandao ili waislamu wengine wazisome na wajiepushe na uzembe wa kutoswali ili wasijepata adhabu hizi!
  1. Uhai wake huondoshewa baraka
  2. Huodelewa katika waja wema
  3. Matendo yake hayana malipo
  4. Dua zake hazijibiwi
  5. Ulaaniwa na kila kitu
  6. Hana fungu katika dua za waja wema
  7. Ufa na njaa kali wakati wakutoka roho
  8. Ufa dhalili
  9. Ubanwa na kaburi
  10. Kaburi lake uwashwa moto
  11. Ufa na kiu kikali wakati wa kutoa roho
Tafadhali zilizobaki 4 uongezee kwenye comment na wewe Allah(SW) atakulipa kwa kufikisha kama Yahya Abdulkarimu alivyojitahidi kufanya hivyo na tunamuombea kwa Allah azidi kumpa imani na kujifunza dini yake.

Tuesday, December 13, 2011

Ruqya-islamic dua and recitation of special verses for body and spiritual abnomalities

Assalam Aleikum.
We see nowadays there are diseases which are not cured by normal medicine and people are being tortured by unknown diseases in such away no cure in modern hospitals.
Symptoms of abnormal diseases are:
Irregular heart beat and loose of confident with no reason known
Burning of some body parts like legs, head
Movement of things in the blood vessel detected by the victim
Sleeping in the meeting, class, salat, Ijumaa sermons, etc
For women menstrual blood non stop and occur continuously
Chronic and one sided headache
Bad dreams every night
Bad thought like suicide thoughts and abnormal laziness appear to the victim
Hating to pray salah in mosque and reciting the qur'an becomes hard for the victim
Epilepsy different from the normal epilepsy we know 
Dreaming you are in dirty places like latrine, rubbish places, etc
Crying with no reason in sleep
While studying and reciting the Qur'an tears comes out and eyes becomes red or with abnormal color
Temporary blindness and sometimes to fail to read or to study lessons.
Solution for these abnormalities
Believe in One GOD with no partner
Purify your self from sins especially  fornication(zinaa), alcohol, smoking, riba, gossiping(talking others), stealing peoples properties, bribe, etc.
Pray five salah and sunna prayers, give sadaqah and dhakah
Love orphans and assist the needy people around you
Reciting the Qur'an every morning and evening especially suratil baqarah,assaffaat, dukhaan, yasini, maudhwatain, ikhlasi.
Pray for prophet to Allah to bless him like allahuma swali ala muhamad, etc
Make dhikiri according to the teachings of prophet(SAW)
InshaAllah for more advice contact: computces@gmail.com

Raqi in Tanzania DSM

Tiba sahihi ya magonjwa yasiyopata majibu kisayansi ni maombi na madawa ya kunywa na kujipaka.

  • Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
  • Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
  • Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
  • Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
  • Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
  • Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
  • Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
  • Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
  • Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
  • Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
  • Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
  • Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
  • Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
  • Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
  • Kuongea usiku na kupiga kelele
  • Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
  • Kuota uko msituni mara kwa mara
  • Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
  • Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
  • Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
  • Kuota uko makaburini mara kwa mara
  • Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo
  • Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
  • Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
  • Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla

Dalili hizo ni za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini yanayokusumbua ya kiuchawi

Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.

Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.

Dawa nyingine za kunywa ni hizi:

Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.

 MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
  1. POWERFUL OIL
  2. MT32
  3. SAFISHA

MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 

1.POWERFUL OIL

HAYA MAFUTA YANATIBU:

  • KUONDOA NGUVU ZA GIZA
  • KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
  • KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
  • KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
  • KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
  • KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
  • KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32

 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.

UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
  • UCHAWI ULIOKO MWILINI
  • KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
  • KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO 
  • KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
  • MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
  • KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
  • KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO

3.SAFISHA

 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).

Sasa dawa hii ina faida hizi:
  • Kupunguza uzito
  • Kuondoa uchafu tumboni
  • Kusaidia kupata choo
  • Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
  • Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
 KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI

Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.

OFISI YETU

TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM.

Contacts:
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255764041507/+255717147649

Dar es Salaam, Tanzania.

Sunday, December 11, 2011

Mwenyekiti wa KIDO Mzee Ibrahimu Bigwomunda awahimiza waislamu kuleta watoto wao Kusoma Shule ya Sekondari ya KIDO karagwe Lubwera Kagenyi(Dec.2011)

Mwenyekiti wa KIDO Karagwe Mzee Ibrahimu Bigwomunda amesema tayari ameishapata walimu wenye Shahada za chuo kikuu kusimamia na kufundisha shule mpya ya sekondari ya KIDO wilayani Karagwe, amesema kuwa kwa uwezo wa Allah(SW) hatarajii kurudi nyuma katika kuhakikisha anaendeleza miradi ya KIDO akiwa na viongozi wa KIDO kwa ujumla. Uongozi wa KIDO karagwe umeisha muunga mkono katika hili kwani Primary ya KIDO Karagwe kwa sasa imeweza kuhitimisha watoto wa darasa la saba na wanategemea kujiunga kidato cha kwanza. Shule hizi za KIDO ni shule zinazofundisha masomo ya dini ya kiislamu kikamilifu na adabu njema za kiislamu na masomo ya kawaida ya kimazingira, kwa hiyo mtoto akitoka katika shule hizi za KIDO atakuwa amepata bahati ya kujua uislamu wake vizuri na dunia yake vizuri.
Shule zinatumia Lugha mbili za Kimataifa katika kufundisha yaani Kiarabu na Kiingereza

Mkurugenzi wa KIDO Kabwoba atamka nia yake ya Kuanzisha Chuo Cha Kuhifadhi Qur'an Wilayani Bunazi sehemu ya Kabwoba.

Mkurugenzi wa Kagera Islamic Development Organisation-KIDO Sheikh Shahidu Idd Msafiri mkoani kagera ambaye anasimamia shule za KIDO yaani Kabwoba English Medium Primary School na Kabwoba Secondary School ametoa pendekezo la kuanzisha chuo cha Kuhifadhi Qur'an tukufu shuleni hapo ili vijana wa Kiislamu waweze kujifunza Uislamu na kuhifadhi Qur'an takatifu. Anaomba waislamu wenye kutaka radhi za Allah(SW) wachangie kwa hali na mali ujenzi wa chuo hicho.
Ukitaka kuona shughuli za shule za KIDO kabwoba tembelea tovuti hii: www.kabwobaschools.com

KIDO-Kagera Islamic Development Organisation wafungua shule za Sekondari mbili mkoani Kagera

Shirika la kiislamu kwa ajili ya kuanzisha miradi mkoani Kagera liitwalo KIDO limefungua shule za sekondari katika wilaya ya Bunazi sehemu ya Kabwoba na Karagwe sehemu ya Kagenyi Lubwera. Vituo hivyo vinaonyesha kufanya vizuri chini ya uongozi wa Mwenyekiti Mzee Ibrahimu Bigwomunda akisimamia mradi wa KIDO Boarding Institute Karagwe ikiwemo Primary-English Medium and Secondary na Mkurugenzi Shahidu Idd Msafiri akisimamia Bunazi Kabwoba KIDO projects ikiwemo Kabwoba English Medium Primary School na Kabwoba  Secondary School.
Tunaomba wananchi wapenda maendeleo waunge mkono juhudi za shirika hili ili liweze kuleta maendeleo zaidi mkoani Kagera.

Mwalimu Imran Atibu kutoka Kirinjiko Islamic Centre atoa mawaidha msikiti wa Markaz Kashai Bukoba Tanzania tar.11/12/2011

Mwalimu Atwibu Hussein baada ya sala ya Ishah alimkaribisha mgeni ajitambulishe kwa waisalmu, mgeni  alikuwa safarini kuelekea Karagwe kwa ajili ya mazishi ya mwanafunzi wa Kirinjiko aliyeaga duniani, inna llillah waina ileiy rajiuun.
Mgeni alijitambulisha kwa jina Imrani Atibu na Mwalimu Kirinjiko Islamic Centre, Mwalimu Imran Atibu ameongelea mambo kuhusu hali ya sasa na waislamu wa sasa kama kuiga mambo ya kimagharibi na kuacha kujifunza uislamu wetu vizuri na kufuata mbinu za Mtume wetu katika kueneza kalima na kuamsha waislamu ili waweze kujua wajibu wao na kutimiza wajibu wao kwa mujibu wa mafundisho ya uislamu.
Amesema waislamu tuko wavivu wa kusoma na hatutaki kusoma uislamu na kuujua vizuri, hii itatusaidia kupunguza mitafaruku miongoni mwetu kwani watu waliosoma dini vizuri na kufuata mafundisho si rahisi kugombana na kutoelewana kama tunavyoona hivi sasa. Maadili yameharibika mpaka sasa tunaona duniani inavyochafuka kiasi kwamba mtu anataona heri ya jana kila kukicha. Mwalimu Imran Atibu amesema mpaka sasa nchi za ulaya zimelazimisha nchi maskini zikubali wanaume kuoa wanaume wenzao wakitaka ndipo zitapewa misaada ya kiuchumi hii inaonyesha duniani inavyoelekea pabaya kiasi kwamba mtu mchamungu kweli hatapata raha dunia ya sasa ila atakaa katika huzuni n hii inathibitisha maneno ya Mtume aliposema itafika zama muumini atamani kuwa kaburini kuliko kuishi duniani kwa mambo yatakavyochafuka.
Mwalimu Imrani Atibu ameelezea ujanja wa kupamba mambo ya kupotosha na kuyafanya kuwa kama halali kwa waislamu wa kawaida kama kuanzishwa Islamic Banking inavyopaliliwa kwa waislamu ili waweke pesa yao na Benki zifanyie biashara kwa kukopa watu wengine na kupata riba na wewe muislamu ukitaka pesa yako wanakupa bila riba na huku wamezitumia katika biashara ya kukopa kwa riba na pesa yako imeshirika katika biashara haramu ya riba na wewe unaaambiwa ni Islamic Banking. Mwalimu amesema pesa yako ni bora uifanyishe biashara ili izae faida halali na uajiri watu wengine nao wapate faida na hatimae umaskini upungue kwenye jamii.Kwa mfumu wa kiislamu ni kushirikiana katika faida na hasara na siyo hasara kwa upande mmoja tu wa mteja au faida kwa mteja tu, hii iwe sawa ni mpaka upate mkopo bila riba na kama ni biashara mugawane kwa hali ya faida au hasara ndio utaratibu sahihi wa kiislamu katika mfumo wa uchumi, uislamu unazuia kurundika mali bila kuitumia kuzalisha na kutoa dhaka na sadaka ili jamii iwe na maisha bora, ametoa mfano wa marekani kuwa watu sasa wanaandamana kwasababu matajiri wamerundika mali benki na kuihodhi na huku watu wa kawaida wanateseka na mzunguko unakuwa haupo wa kuzalisha katika nchi au sehemu husika.
Ameruhusu maswali na kujibu swali la muulizaji mmoja aliyesema kuwa hii siyo nchi ya kiislamu na hukumu za kiislamu si rahisi kuzitekeleza ipasavyo, Mwalimu Imrani Atibu amejibu kuwa tusome historia mtume alivyofanya mpaka dola ya uislamu ikasimama tangia akiwa madina mpaka kuhama kwenda maka na kisha kurudi maka akiwa na uwezo kamili wa kusimamisha uislamu maka na madina na mpaka sasa uislamu umeenea dunia nzima.

Friday, December 9, 2011

Qur'an is the book from God, special name Allah

Assalam Aleikum

I would like to inform human being that the Qur'an is the Book from God, we muslims we call God by his name ALLAH, the Qur'an is the book with verses proving scientific facts which are already revealed to human beings and other scientific facts not yet revealed to human being at the moment. God was showing the people that the human being can not produce the book like the Qur'an and will not do so. The Qur'anic verses are teachings about everything on God and the purpose of creation which is to worship only Allah, there is no God except Allah only one with NO partner in his Kingdom. Everything under the sun are creatures for Allah the creator, when you love nature you must love Allah first because is the one created nature which you love.

Mwalimu Twaibu Athumani aendeleza darasa la watu wazima la mafunzo ya dini ya Uislamu Katika Msikiti wa Markaz Kashai Bukoba Tanzania

Tunapenda kuwaomba walimu wa dini waige mfano wa Mwalimu wa Qudus English Medium Primary School ya Bukoba Tanzania kuelimisha watu wazima wanaotaka kusoma uislamu. Darasa hili lakaribia kumaliza mwaka tangia lianze na sasa kinachoombwa ni kuwahimiza watu wazima wasome uislamu vizuri bila kusingizia umri na majukumu kwani kujua uislamu wako ni jambo la kwanza ili ufuate uislamu unaojua na sio wa kuzaliwa na kuigiza waislamu wengine bila kusoma wewe mwenyewe. Katika uislamu elimu haina mwisho na ni wajibu wa kila muislamu kusoma mpaka anaingia mwanandani yaani kaburini.
Tumuombee Mwalimu Twaibu Hussein asikate tamaa katika kuendeleza darasa la watu wazima hapa Msikitini Kashai Markaz na Allah atamlipa hapa duniani na Kesho Akhera Insha Allah.

Thursday, December 8, 2011

Akhlaq(Tabia) Njema Kwa mafundisho ya uislamu na Sheikh Musa Abeid Msikiti wa Kashai Markaz

Sheikh Musa ABEID Baada ya Swala ya Alfajiri alitoa nasaha kwa waislam kuhusu tabia njema za kiislam, aliongelea tabia nzuri na zenye kulinda heshima za muislam kama:

  1. Kutochana ndevu mbele ya watu
  2. Kutoshika shika ndevu mbele ya watu
  3. Kutochokonoa meno mbele ya watu
  4. Kutoweka vidole puani mbele ya watu
  5. Kutokata kucha mbele ya watu
  6. Kutosimamia watu waliokaa wakifanya mambo yao
  7. Kutolala ndani ya watu waliokaa
  8. Kutokaa bila kulala kati ya watu waliolala
  9. Kutonyoshea watu au mtu kidole akiwa mbali au karibu hata kama unamuongelea vizuri
  10. Kutolazimisha katika kuomba yaani kugagania kuomba
  11. Kutofanya urafiki na mtu muongo
  12. Kutojifanya rafiki wa tajiri asiyekusaidia lolote hata ukiwa na shida
  13. Kutokaa vijiweni au karibu na njia ila ukilazimika kukaa chunga haki zake kama kuinamisha macho, kuhamrisha mema na kuondoa maudhi kwa watu
  14. Kutotaniana na watoto na watu walioko chini yako kuzidi kiwango cha kawaida
  15. Kutorithisha mali zako na  bado uko hai:mfano: kugawa nyumba kwa mwanamke kuwa ni yake, mashamba, n.k
  16. Kutodhihirisha hali mbaya kiuchumi waziwazi kwa mwanamke wako bila ulazima wa kufanya hivyo.
  17. Kutofanya mali kuwa na thamani kuliko wewe. mfano: kuna watu wanafikia hatua kujidhalilisha ili wapate pesa kama waimbaji wakiwa uchi, michezo ya kuigiza(Comedy), Mashindano ya kuwania urembo, kumfanyia mpango haramu dada yako au shemeji yako, nk ili azini na mtu mwingine ili mradi umepewa mali, wanawake malaya ili wapate mali wanafanya zinaa kila muda na mtu yoyote.
  18. Kutotembea kwa magoti
Sheikh Musa Abeid amesema hii ni kuonyesha kuwa waislamu tuna muongozo kuhusu tabia njema katika kuishi na watu mbalimbali.
Si rahisi kupata mafunzo haya katika dini nyinginezo, hivyo tujitahidi kuzifanyia kazi kwa vitendo ili tuwe mfano wa kuigwa katika jamii. Insha Allah tujitahidi kusoma dini yetu na kuwafunza jamaa zetu uislam kwa ujumla.

Sunday, December 4, 2011

Walokole washirikiana na Sheitani kupotosha Waislam

Walokole wanatumia mikusanyiko yao kuombea wagonjwa na watu wenye matatizo ya kiuchumi na shida mbalimbali, hii inapelekea kudai kuwa wanatoa majini na mapepo ndani ya miili ya wagonjwa kwa kutumia jina la Yesu na kumuita Mungu na ikiwa hiyo ni kufuru kumuita Yesu Mungu na hali wakijua kuwa alitumwa na Mungu kufanya kazi yake ya kuwatoa katika upotovu waisraeli.

Namna Walokole wanavyowapotosha waislam na watu wengine
Tujue kuwa sheitani ana ujanja mwingi wa kupoteza, kwanza kwa wagonjwa wenye majini na mapepo ambayo ni majeshi ya sheitani, Mchumgaji wa kilokole akianza kutumia maneno ya kumshirikisha Allah(SW) kama Toka kwa jina la Yesu badala ya kutoka kwa uwezo wa Mwenyezimungu jini au mapepo yatatoka haraka ili watu wanaoangalia na yule mgonjwa waamini kuwa ulokole ni dini ya kweli na Mchungaji ni Mtu wa Mungu kweli na anayofanya ni sahihi kumbe hakuna ni ujanja wa sheitani ili apoteze wengi kwa kupitia njia hiyo.
Hii inatokana na mkataba wa sheitani na washirikiana kuwapoteza watu kwa njia ya kuwatesa kwanza kisha kuwaachia kwa kupitia kemeo la wachungaji wa kilokole, tunajua kuwa Mungu ana uwezo wa kufanya atakavyo bila kupitia kwa kiumbe chochote na Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na hakuna kinachomfanana na akitaja jambo liwe huamuru na jambo hilo huwepo kama atakavyo. Mungu hana mshirika wala mshauri ila yeye anajitosheleza kwa kila kitu, hawa walokole wajue kuwa inapashwa kumuomba Mungu moja kwa moja pindi tunapokuwa na shida yoyote.

Uislam unasisitiza kuwa Mungu hana mshirika na ni muweza wa kila kitu kwahiyo wanaodanganywa kuwa Yesu ndiye mponyaji wakaamini wanakufuru ila Yesu(Issa (AS) ni mtume wa Mungu kwa waisralei na alipewa injili ambayo waislam tuna amini kuwa ni kitabu kutoka kwa Mungu ila Injili ya sasa imefanywa marekebisho yenye kupotosha watu, kwa hiyo isome kwa makini.
Uislam ndo dini sahihi kwa sababu inahakiki kuwa mitume wote akiwemo Musa, Yesu, n.k ni mitume wa Mungu walitumwa na Mungu lakini wao si Mungu hata kidogo na kuponya ni kwa Mungu pekee yake kupitia katika sababu mbali mbali kama madawa, maombi sahihi ya Ruqya au dua kwa mujibu wa Qur'an Na Mafundisho ya Mtume(SA).

OFISI YETU

TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM VINGUGUTI. UKIFIKA BUGURUNI SHEL SHUKA NA UPANDE MAGARI YA KWENDA VINGUGUTI , TELEMKA KITUO CHA POLISI KIITWACHO MTAKUJA. OFISI YETU IPO KARIBU NA NEW KINYUMA HOTEL.
UKIPANDA PIKIPIKI KUTOKA BUGURUNI SHEL NI SH 1,500/= TU KUFIKA OFISINI.

KWA MAELEZO ZAIDI TUMIA MAWASILIANO HAYA:

+255712708655/+255713916386

Sheikh wakusoma kisomo cha Ruqya na Dua. Simu.+255 785708655

Email: tibaherbs@gmail.com

Uchawi na Madhara yake

Bismillah Rahman Rahiim
Uchawi ni ujuzi haramu wanaoutumia wanadamu kwa kushirikiana na sheytwani kuwadhuru wanadamu wenzao ama kwa kuwadhuru kifikira na kimwili kwa sababu za matashi ya nafsi zao hao wachawi, chanzo kikubwa cha uchawi ni husuda na tamaa. Wachawi wako sehemu mbalimbali kwenye miji na vijijini, tunashuhudia mashetani na majini yapanda watu na kuanza kuleta vurugu na kudai mambo chungu nzima ya kumshirikisha Allah(SW), hii imeongezeka sana katika zama hizi kila kukicha kunatokea matukio ya kishirikina kazini, kwenye familia, maeneo ya biashara, mashuleni, nk.

Uislam umezuia uchawi na kumtii sheytwani kwa hali yoyote ile na mchawi ni mshirikina anayeshirikiana na sheytwani kumuasi Allah(SW), miongoni mwa wanadamu wapo wanaofanya mikataba ya ushirikiano kati ya sheytwani na jeshi lake kufanya ufisadi katika ardhi. Mchawi lazima afanye yale machafu yanayopendwa na sheytwani kama uzinifu, kuchinja kwa ajili ya sheytwani, kutembea usiku uchi na kufanya ibada kwenye makaburi na kuweka sadaka kwenye sehemu za njia panda na milimani ili mradi akufuru sana na sheytwani afurahi ndipo amuitikie mchawi na ampe nguvu za kupaa, kuingia kwenye nyumba wakati imefungwa n.k.

Mchawi hafiki popote kwa mujibu wa aya za Qur'an Allah anasema mchawi afike popote na hii tunaona Musa(AS) alipambana na wachawi kwa uwezo wa Allah walishindwa na wakawa wadogo na wengine wakasilimu, ndugu muislam mchawi anateseka na majini yake wakati akiendelea kuyatii na kumuasi Allah(SW) kwani yatamwambia fanya hiki mara hiki na mpaka yanaweza kumuomba mtoto wake na mke wake kufanya naye zinaa ili mradi mchawi akufuru na apotee zaidi na azidi kupotea kwani ni nipe nikupe.

Namna gani kujilinda na uchawi na wachawi?
Muhimu kuwa na Imani kuwa Allah ni mmoja na mtume Muhamadi ni mjumbe wake hana mshirika isipokuwa yeye Allah huamua kila jambo kuwa na hilo jambo huwa, soma uislam vizuri ujue namna ya kutawadha vizuri na kusali swala tano vizuri, kaa na udhu muda wote, soma Qur'an kila asubuhi baada ya swalatil fajiri na baada ya salatil Ishah, soma ayatul Qurusiyu wakati wa kulala na lala na udhu na puliza viganjani mwako na weka karibu na mdomo na somea kwenye viganja vyako suratil ikhlaswi x 3, nasi x 3 na falaq x 3 kisha jipake mwili mzima x3 utakapoweza kufikisha viganja. Lala na nia ya kuamka na kusali subuhi au tahajudi na Allah atakulinda Insha Allah na kila jambo baya wakiwemo wachawi na masheytwani.
Hakikisha unasoma au kuweka CD ya Qur'an kwenye nyumba yako mara kwa mara na hasa Suratil Baqarah ili kufukuza masheytwani ndani ya nyumba kwani nyumba inayosomwa qur'an sheytwani haimili kukaa, ondoa picha za viumbe kama wanyama, wanadamu ndani ya nyumba na kwenye kuta za nyumba kama zipo kwani malaika hawaqingii kwenye sehemu zenye masanamu na picha za viumbe zilizotundikwa waziwazi, usiweke mahirizi kwenye nyumba yako na usipige miziki na michezo ya kuigiza yenye kupotosha na watu walio uchi kuangalia ndani ya nyumba.
Waamrishe watu wa nyumbani kwako wasali sala tano na sunna za swala.
Sali sala za usiku na funga za sunna
Toa sadaqa kwa wajane, maskini, mayatima na kuendeleza misikiti kadiri ya uwezo wako
Jitahidi kuepuka na vikao vya usengenyaji na fitina na dumu na dhikri muda wote kimoyomoyo hata ukiwa kazini na safarini. Hii kwa uwezo wa Allah ni njia tosha ya kuzuia sheytwani na wachawi kukuchezea na watakuwa wamekata tamaa ukiendelea hivyo na kuachana na wewe kabisa Insha Allah.

Mawasiliano ya simu: +255 762053174/+255621870342, Email: tibaherbs@gmail.com

MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 

 POWERFUL SOAP-Sabuni yenye madawa yenye nguvu kuondoa athari za nguvu za giza kama mikosi na nuksi. Unaoga na intoa povu jingi pia ngumu haiishi haraka.

1.POWERFUL OIL

HAYA MAFUTA YANATIBU:

  • KUONDOA NGUVU ZA GIZA
  • KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
  • KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
  • KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
  • KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
  • KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
  • KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32

 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.
UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
  • UCHAWI ULIOKO MWILINI
  • KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
  • KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO 
  • KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
  • MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
  • KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
  • KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO

MT32

4.SAFISHA

 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).

Sasa dawa hii ina faida hizi:
  • Kupunguza uzito
  • Kuondoa uchafu tumboni
  • Kusaidia kupata choo
  • Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
  • Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
 KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI

Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.

USHAURI NA TIBA

Mawasiliano ya simu: +255 762053174/+255621870342, Email: tibaherbs@gmail.com

Saturday, December 3, 2011

Nasaha za Sheikh Musa Abeid-Msikiti Kashai Markaz

Sheikh Musa Abeid baada ya sala ya Isha tar.3/12/2011 amewapa nasaha waislam kuwa mstari wa mbele kufuatilia maendeleo ya miradi yao kwani hakuna wakuifuatilia kama si waislamu wenyewe. Amewapata taarifa kuwa tar.4/12/2011 jumapili ni siku maalum ya kufunga mwaka wa masomo wa shule iliyojengwa na waislam wenyewe kwa hali na mali iitwayo Qudusi English Medium Primary School iliyoko eneo la Bukoba mjini Kahororo.
Amewasisitiza waislam kushirikiana katika kuendeleza shule hiyo ya pekee yenye kufundisha masomo ya dini kuanzia chekechea na masomo ya kawaida katika manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera Tanzania.
Pia Sheikh Musa Abeid ameongelea ufanisi uliopatikana mpaka kupata barabara ya kufika shuleni kwa gari kuwa ni jambo la kumshukuru Allah(SW) kwani waislamu wamejitoa muhanga kwa maendeleo yao na vizazi vya baadae na Allah atawalipa kwa juhudi zao.
Pia ameongelea wageni kutoka African Muslim Agency waliokuwa wanatafuta namna ya kuweka miradi ya kijamii katika mkoa wa Kagera, alisema Sheikh tuombe Allah ajalie waweze kutekeleza mipango yoa mizuri kwa ajili ya waislam na kinachotakiwa ni ardhi ya kutosha karibu na manispaa ya Bukoba.
Amewanasihi waislam wawe na subira na wavumiliane na kusahihishane pale penye tatizo bila kugombana na kufanyia fitina kwa kukuza mambo yasiyokuwa na uhakika na wala faida kwa umma wa kiislam

Hotuba ya Ijumaa Msikiti wa Bilele(Uswahilini) Bukoba Tanzania Tar.2/12/2011

Hotuba hii imetolewa na Sheikh Yusufu Kakwekwe na ni mwalimu Nyanshenye Sekondari ambayo shule iko chini ya Taasisi ya Kiislam iitwayo Bukoba Islamic Centre. Sheikh Kakwekwe pia ni Mwalimu Mkuu wa masomo ya dini katika madrasat Fauzu katika Manispaa ya Bukoba Tanzania.

Sheik Yusufu Kakwekwe alianza kwa kumhimidi Allah(SW) na kumsalia Mtume wetu, kisha kuwakumbusha waislam kumcha Allah(SW) na kuelezea mwezi tuliomo kuwa ni wa kwanza katika miezi ya kiislam na akasisitiza kusaidia wajane, mayatima, maskini na kuchangia maendeleo ya kiislam kwani mali ya mtu itakuwa yenye kuulizwa siku ya kiama namna ulivyoipata na matumizi yake. Kutoa katika njia ya Mwenyezi Mungu alinukuu aya za Qur'an na akaelezea umuhimu wake kwa wale wenye mali, alisema usikalie mali yako kwani ALLAH ndo mtoaji na inabidi tutoe zaka na sadaka sitahiki kadiri ya uwezo wa kila muislamu.

Amesisitiza waislam tutumie umri wetu kufanya mema na siyo kuendelea kufanya mabaya kama kudhulumu, kufanya ufisadi, kuzuru watu na akasema tupo bado tutoe toba na tufanye mema.

Sheikh Yusufu Kakwekwe alisema watu wenye ujuzi wautumie ujuzi wao kwa manufaa ya jamii na wakiutumia vibaya wataulizwa kwani Allah amewapa kama Amana na inabidi wasiutumie kuzuru watu na kufanya ufisadi katika ardhi

Hotuba ya Ijumaa Msikiti wa Bilele(Uswahilini) Bukoba Tanzania Tar.25/11/2011

Sheikh Haruna Kichwabuta ambaye ni Sheikh wa Wilaya ya Bukoba Manispaa, alianza hutuba ya ijumaa takriban saa 7.05 za mchana wa siku ya Ijumaa. Alianza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu(SW) na Kumtakia rehema na Amani Mtume wake. Waislam walipewe ujumbe wa kumcha Mwenyezi Mungu na Kufuata mwenendo wa Mtume wetu Muhammad(SAW). Sheikh Haruna Kichwabuta aligusia harakati za Mtume akiwa Maka na kuanza kutangaza Mungu mmoja Allah(SW) na vipingamizi alivyopata katika harakati hizo kutoka kwa Makuraishi washirikina, Sheikh Haruna kichwabuta aligusia safari ya kuhama kwa siri kwa mtume na baadhi ya maswahaba kwenda Madina(Hejira), alisema walikwenda na Abubakar huku wakifuatiliwa na Makafiri ili wawakamate na wawauwe huku aliyebaki kwenye kitanda cha mtume alikuwa Saidina Ali na baadaye Mtume aliingia pangoni kujificha na Saidina Abubakari, Sheikh Haruna Kichwabuta alisema Abubakari aliingia kwanza pangoni na kusafisha ili kucheki usalama pangoni ili mtume asizulike kwanza, katika hili alilauma Mtunzi wa kitabu kimoja nchini Tanzania aliyesema kuwa saidina Abubakari pale pangoni hakuwa na umuhimu wowote na yule mtunzi wa kitabu akamfananisha na Mbwa aliyekuwa amejinyosha kwenye lango la vijana wa pangoni. Hii Sheikh Haruna Kichwabuta alilaumu upotoshaji wa mtunzi wa kitabu hicho na kusema Saidina Abubakari walikuwa na Mtume kwenye harakati na pangoni aliingia Abubakari kwanza kuangalia usalama wa pango!
Sheikh Haruna Kichwabuta alisisitiza kujitahidi kufanya mambo ya kheri ili kupata radhi za Allah(SW) na kujitahidi kufanya maendeleo kwa ajili yetu wenyewe na kusomesha watoto elimu ya dini na elimu zinginezo