Monday, August 27, 2012

Aboud Rogo apigwa risasi

Watu ambao hawajajulikana wamemuua Sheikh na mhubiri mashuhuri Kenya na Afrika Mashariki  Aboud Rogo. hii inaonyesha uadui kwa waislamu nchini Kenya na ulimwengu kwa ujumla hasa wale wanaopimga uonevu na dhuluma zidi ya ndugu zao waislam.

Aboud Rogo amesingiziwa sana na maadui wa uislamu kwa kushirikiana na waislamu masheikh wanafiki na wenye kuona wataishi duniani milele kumbe wote ni wa kufa ila tutakuwa na heshima tofauti baada ya kufa mbele ya Allah(SW).

Kuna wanadamu duniani wanaokaa usingizini na wataamka baada ya kufa kwani ndo watapata ushahidi wa yaliyopo mambo huku kaburini na barzakh na hapo wazinduka wakiona kuta za kaburi na watakuwa ni wenye kujuta na hawataweza kurudi duniani kufanya mema, kwa hiyo kufa kwa Aboud Rogo siyo mwisho wa kutetea haki bali ndo sasa watatokezea Aboud Rogo wengi na wenye Msimamo zaidi na nia thabiti.

Mungu atujalie tufikie msimamo wa Aboud Rogo na kuzidi hapo ili tutoke duniani tukiwa tumefanya mambo anayopenda Allah(SW) kwa kuzingatia Qur;an na Mafunzo ya mtume bila kuogopa kusema haki mbele ya viumbe wote.

OFISI YETU

TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM VINGUGUTI. UKIFIKA BUGURUNI SHEL SHUKA NA UPANDE MAGARI YA KWENDA VINGUGUTI , TELEMKA KITUO CHA POLISI KIITWACHO MTAKUJA. OFISI YETU IPO KARIBU NA NEW KINYUMA HOTEL.
UKIPANDA PIKIPIKI KUTOKA BUGURUNI SHEL NI SH 1,500/= TU KUFIKA OFISINI.

KWA MAELEZO ZAIDI TUMIA MAWASILIANO HAYA:

+255 752822056 ,+255654454398, +255 762219617

Email: tibaherbs@gmail.com

No comments:

Post a Comment

CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA