Hii inaonyesha kuruhusiwa kusikolazima kuoa wanawake mpaka wanne.
Tumeshuhudia sasa hivi nyumba ndogo zinavyoshamiri kwa hata wasiokuwa waislamu kutembea na wanawake hata kumi kwa wiki na hata wegine wanawapangishia nyumba za siri na huku wakijifanya watakatifu kwa binadamu wenzao na huku Mwenyezi Mungu akiwaona wakivunja amri ya sita kwa mujibi wa Biblia.
Je nani wa kuogopa na kutii Mungu au wanadamu? Mimi naona Mungu ndo wakuogopa kuliko wanadamu wakosefu kama wao na unajificha eti mke wako asikuone na hali unamkasirisha Mungu aliyekuumba.
Wanawake wengine wanadiriki kusema kuwa mwanamke apende lakini asioe wala kumtambua huyo mwanamke ila tu azini naye basi, je nyie wanawake hii ni halali na uenda ikawa hatari kwako mbele ya mapenzi na huyo mwanamke wa nje.
Kuhusu maumbile yanalazimisha wanaume wawe na wake zaidi ya mmoja kwani kuzaliwa kwa sasa wasichana wanazaliwa kwa wingi hata ukijihesabu kwenye familia yenu na majirani utagundua kuwa wasichana ni wengi kuliko vijana, mbali na kuzaliwa kuna vita baina ya nchi na nchi wanaopigana kwenye uwanya wa vita wengi asilimia 98 ni wanaume na vijana na hii inafanya wanaokufa kwa wingi ni wanaume na vijana kiasi kwamba wanazidi kupungua. Mbali na vita katika biashara na ajali nyingi wanakufa wanaume na vijana kwani ndo wanasafiri sana kutafuta riziki na hii inazidi kuacha wasichana wengi na wanawake kwenye jamii, je kwa hali hii kila mmoja akioa mwanamke mmoja mmoja tu itakuwaje kwa hawa waliobaki bila kupata wa kuwaoa?
Matokeo yake itakuwa ni kujiuza kama mnavyoona siku hizi mabinti wengi wamekimbilia kujiuza ili kupata pesa na mwili kuutuliza na ndo sasa wameongezeka mpaka hata wa kuwanunua kufanya uzinzi wamepungua na hii inaeneza ufisadi na kuongeza magonjwa ya zinaa na bila kusahau ukimwi. Tukiangalia nchi za magharibi wanao ubiri kuoa mke mmoja na hata mikataba ya ndoa ya miaka miwili au mwaka ndo wamefungua hata kampuni za uzinzi za kuweka wanawake na kupatiwa lesseni na serikali na wateja wanalipa wanachagua wanaowataka na kuzini nao bila wasi wasi na hii sasa imeruhusiwa na bunge katika nchi nyingi za ulaya.
Sasa tafakari hata wewe ipi bora na ipi ya kumpa thamani mwanamke kati ya kuoa wanawake wanne na ukawatunza na mkazaa watoto na hii ya baadhi ya nchi kuruhusu makampuni kuwauza wanawake na kufanya uzinifu na kila mtu na ikiingia mimba kuitoa kwa kuua watoto wachanga bila hatia?
Tunaona manabii walioa zaidi ya mke mmoja mfano Musa, Samweli, Suleiman, Ibrahimu, n.k je wewe na mimi tunaopinga tuna hekima kuzidi Nabii Suleiman au Mussa au Ibrahimu Baba wa Imani?
Waislamu tunafanya jambo zuri kuoa wanawake zaidi ya mmoja yaani mpaka wanne kama unao uwezo na una nguvu za kiume za kutosha, hii tunawaiga manabii na pia hatutaki kuzini nje bila ndoa kama wewe ni muislamu unazini nje basi unalo pepo la ngono kwani unayo ruhusa kuoa zaidi ya mmoja basi oa bila kuzini ndugu yangu.
Wakati mwingine unaoa mwanamke anakuwa tasa, je wewe utaki kuzaa kama utafuata masharti ya ulaya na kanisa ya kuoa mke mmoja mpaka kufa? je mwanamke akiwa na nguvu kidogo na hata mwingine hana hamu ya tendo la ndoa kwa muda mwingi na hata akijifungua akawa anasubiri nifasi ya muda mpaka siku 40 na zaidi itakuwaje? Ukiwa ni mcha Mungu hutaki kuzini utamalizia wapi tamaa ya mwili ndugu yangu ukiwa unafuata mawazo ya kukaa na mke mmoja huku unao uwezo wa kuoa wawili. Kwahiyo uislamu kuruhusu wake mpaka wanne kwa anayeweza kuwatunza kwa kila jambo muhimu kadiri ya uwezo wake bila ubaguzi ni nusura kwenye jamii na kupunguza ufisadi na kulinda kizazi chenye malezi mema kama atakuwa ametimiza wajibu wake vyema.
Tiba sahihi ya magonjwa yasiyopata majibu kisayansi ni maombi na madawa ya kunywa na kujipaka.
- Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
- Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
- Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
- Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
- Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
- Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
- Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
- Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
- Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
- Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
- Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
- Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
- Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
- Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
- Kuongea usiku na kupiga kelele
- Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
- Kuota uko msituni mara kwa mara
- Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
- Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
- Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
- Kuota uko makaburini mara kwa mara
- Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo
- Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
- Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
- Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla
Dalili hizo ni za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini yanayokusumbua ya kiuchawi
Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.
Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.
Dawa nyingine za kunywa ni hizi:
Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.
- POWERFUL OIL
- MT32
- SAFISHA
MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA.
1.POWERFUL OIL
HAYA MAFUTA YANATIBU:
- KUONDOA NGUVU ZA GIZA
- KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
- KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
- KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
- KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
- KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
- KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.
UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
- UCHAWI ULIOKO MWILINI
- KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
- KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO
- KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
- MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
- KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
- KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO
3.SAFISHA
Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).
Sasa dawa hii ina faida hizi:
- Kupunguza uzito
- Kuondoa uchafu tumboni
- Kusaidia kupata choo
- Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
- Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.
OFISI YETU
TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM.
Contacts:
Email: tibaherbs@gmail.com
+255764041507/+255717147649
+255764041507/+255717147649
Dar es Salaam, Tanzania.
No comments:
Post a Comment
CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA