Kabla ya kuzania kuwa una mikosi au nuksi jihesabu na fanya tathmini kuhusu mwenendo wako wa kimaisha uko vipi na je unajitahidi kuwa makini na si mlevi, mzinifu,mwenye fitina na husuda ya kuchukia wenzako waliofanikiwa zaidi yako?
Mikosi na nuksi kutokana na nguvu za giza kama uchawi, majini na mengine kama hayo vipo kwani husuda miongoni mwetu uzaa chuki na kulogana ili kuathiri walio zaidi yetu kiuchumi na kifamilia ili nao wawe na hali ngumu!
Dalili za athari za nguvu za giza ikiwemo kulogwa, majini na mengine ya kishetani kama hayo:
- Kujihisi huna raha moyoni pamoja na kuwa na mahitaji muhimu ya kumudu maisha
- Kuota ndoto za kutisha kama nyoka, paka, maiti,unashambuliwa, unaongea na watu waliokufa, nk
- Kuchukiwa na watu karibu wote na kujihisi hufai
- Kuwa na mawazo mabaya kama kujiua, kuhama kwako,hasira na kupenda visasi
- Kupenda sana zinaa na ulevi mpaka kila mtu anakushangaa, unatamani hata dada zako na jamaa wako kuzini nao
- Kuhisi njaa baada ya kula na kukosa choo kiasi kwamba unakunya kama choo ya mbuzi kwa shida
- Kusinzia kwa kustuka stuka na kuhisi moyo unadunda kwa kasi
- Kuhisi viungo vina joto kubwa, kuhisi moto miguuni, kuchoka na kupata ganzi baadhi ya viungo
- Kukosa nguvu za kiume au kike na kuchukia tendo la ndoa
- Kupoteza pesa na kukosa sababu kubwa ya pesa hizo kutoonekana pindi unapozipata
- Kuuma meno na kuongea ukiwa usingizini
- Kuhisi tumbo lina kitu kinaviringika
- Kutetemeka baadhi ya viungo bila sababu inayoonekana
- Kuhisi vitu vinatembea mwilini
- Kuhisi unapapaswa au kuna kitu kinatembea mwilini ila ukigusa au kutazama huoni kitu
- Kusahau sana hadi mambo muhimu kwako
- Kupoteza fahamu ukiwa kazini au unafanya kazi zako
- Kuhisi kuna mtu anakufuata nyuma na ukiangalia huoni mtu
- Kuitwa usiku au mchana jina lako na anayekuita humuoni
- Kichwa kuumwa upande mmoja
- Magonjwa sugu na hayaponi kwa dawa ulizomeza nyingi tu
- Kufanya biashara kwa mashaka na kwa madeni yasiyolipika pamoja na juhudu kubwa
- wateja kila kukcha wanakuhama hata kama unawajali na kutumia kauli nzuri
- Familia kusambaratika bila sababu maalum inayoeleweka
- Kuchukiwa na mume au mke kwa sababu ndo tu
- Kuchukia mambo ya Mungu na kufanya ibada unakuwa mzito
- Mazo na mifugo kudhoofika na wenzako eneo hilo hilo wako hata kama umefuata mashrti ya kilimo bora
- Kutamani kujiua na kukosa muelekeo wa maisha kwa kuona kila kitu hakiwezekani
- Kuahirisha mambo muhimu na muda ukapita kisha ukajuta, majuto huja baadaye
Sasa yote hayo ni baadhi ya dalili kati ya dalili za nguvu za giza
Wasiliana nasi upate ushauri na tiba Mungu atakusaidia utakuwa sawa kwa uwezo wake Mkubwa!
Tuna ofisi DSM -Vinguguti na BUKOBA - Karibu na Victorius Hotel-OPPOSIE na LINAS CLUB nchini Tanzania
Mawasiliano ya simu: +255 762053174/+255621870342, Email: tibaherbs@gmail.com
No comments:
Post a Comment
CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA