Friday, September 30, 2016

Dawa ya Kuondoa uchawi mwilini na kuharibu athari za nguvu za giza kama nuksi na mikosi

Kuna dawa sabuni ya Kuoga, Mafuta ya kujipaka na dawa za kunywa kukutibu kwa uwezo wa Mungu mmoja aliyeumba miti na kila kitu akikadiria Hii sabuni inaitwa POWERFUL SOAP-unaoga na kukaa na povu daika tano kisha unaosha na kujikausha na taulo unajipaka mafuta haya yanaitwa POWERFUL OIL kuanzia siku saba hadi 14, dawa zilizomo na mafuta ni kwa ajili ya kuondoa athari za nguvu za giza na kufukuza mapepo wenye kukusumbua, athari za uchawi kama mikosi na nuksi vitaondoka kwa uwezo wa Mungu aliyoweka kwenye dawa hizi. MT32-Hii ni dawa yenye mchanganyiko wa madawa zaidi ya 32 ya asili yaliyosagwa vizuri na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na usiyo jua mojawapo ikiwa kuondoa uchawi mwilini. SAFISHA-Dawa hii ni ya kusafisha tumbo kama ulilishwa vitu usingizini au bila kujua kwa nia isiyo nzuri utaarisha na kutoa uchafu tumboni, Kupata choo vizuri na pia hata sumu na mafuta ya kupunguza unene inasaidia.


Mawasiliano kwa ajili ya ushauri na Tiba
+255762053174/+255621870342 
Tuna ofisi DSM na BUKOBA

No comments:

Post a Comment

CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA