Kuota ndoto za kutisha, kulishwa vitu, kuchanjwa usiku, kuota unafanya mapenzi na watu wa kutisha, wanyama, n.k
Kama mtu anaota ndoto za kutisha na kufanyiwa mambo mabaya usiku kama mwanamke kuingiliwa na mwanaume kuota anafanya mapenzi na mwanamke asiyemjua na hata akiwa anamjua. Asubuhi kuamka umechanjwa au una mikwaruzo mwilini usiyojua chanzo chake au kuamka umeteguka mguu au kukata tamaa na kujiona hufai, kuchukiwa na kila mtu, n.k
Tiba ya hali hii na kupata dawa ya mchanganyiko ya kujipaka mwili mzima kabla ya kulala ili masheitani na uchawi vinavyokusumbua na kukuweka katika mazingira yasiyokuwa ya kawaida kisaikologia vyote viondoke na uwe salama kwa Uwezo wake Mwenyezi mungu. Na hata mchawi akija kukugusa usiku atapata cha moto ukiwa umelala umejipaka dawa hii katika hali ya mafuta.
Mafuta na Sabuni ndio tiba kubwa ya mambo hayo kwa baraka za Mungu muweza aliyeumba miti na mimea ya kutoa madawa na mafuta . Kama uchawi uko mwilini na maradhi mengine sugu kuna dawa ya kunywa imesagwa ikiwa mchanganyiko wa dawa zaidi ya 32 za asili bila kemikali kwa tiba ya maradhi mengi.
Ushauri na Tiba: Mawasiliano : Email:tibaherbs@gmail.com
+255762053174/+255621870342
Tuna ofisi DSM na BUKOBA. Tanzania
No comments:
Post a Comment
CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA