Friday, September 30, 2016

Dawa ya Kuondoa uchawi mwilini na kuharibu athari za nguvu za giza kama nuksi na mikosi

Kuna dawa sabuni ya Kuoga, Mafuta ya kujipaka na dawa za kunywa kukutibu kwa uwezo wa Mungu mmoja aliyeumba miti na kila kitu akikadiria Hii sabuni inaitwa POWERFUL SOAP-unaoga na kukaa na povu daika tano kisha unaosha na kujikausha na taulo unajipaka mafuta haya yanaitwa POWERFUL OIL kuanzia siku saba hadi 14, dawa zilizomo na mafuta ni kwa ajili ya kuondoa athari za nguvu za giza na kufukuza mapepo wenye kukusumbua, athari za uchawi kama mikosi na nuksi vitaondoka kwa uwezo wa Mungu aliyoweka kwenye dawa hizi. MT32-Hii ni dawa yenye mchanganyiko wa madawa zaidi ya 32 ya asili yaliyosagwa vizuri na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na usiyo jua mojawapo ikiwa kuondoa uchawi mwilini. SAFISHA-Dawa hii ni ya kusafisha tumbo kama ulilishwa vitu usingizini au bila kujua kwa nia isiyo nzuri utaarisha na kutoa uchafu tumboni, Kupata choo vizuri na pia hata sumu na mafuta ya kupunguza unene inasaidia.


Mawasiliano kwa ajili ya ushauri na Tiba
+255762053174/+255621870342 
Tuna ofisi DSM na BUKOBA

Uchawi na tiba yake

Tiba sahihi ya magonjwa yasiyopata majibu kisayansi ni maombi na madawa ya kunywa na kujipaka. Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo. Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki Kuongea usiku na kupiga kelele Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi Kuota uko msituni mara kwa mara Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara Kuota uko makaburini mara kwa mara Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla Dalili hizo ni za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini yanayokusumbua ya kiuchawi Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina. Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari. Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo. Dawa nyingine za kunywa ni hizi: Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote. MADAWA HAYA KWA MAJINA NI: POWERFUL OIL MT32 SAFISHA MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 1.POWERFUL OIL POWERFUL SOAP-Ina nguvu ya kuondoa athari za nguvu za giza kama mikosi na nuksi HAYA MAFUTA YANATIBU: KUONDOA NGUVU ZA GIZA KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI) KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA) 2.MT32 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA. UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA: UCHAWI ULIOKO MWILINI KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO 3.SAFISHA Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7). Sasa dawa hii ina faida hizi: Kupunguza uzito Kuondoa uchafu tumboni Kusaidia kupata choo Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri. Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini. MAWASILIANO KWA AJILI YA USHAURI NA TIBA Mawasiliano ya simu: +255 762053174/+255621870342, Email: tibaherbs@gmail.comp.

Kuota ndoto za kutisha, kulishwa vitu, kuchanjwa na kuota unafanya mapenzi


Kuota ndoto za kutisha, kulishwa vitu, kuchanjwa usiku, kuota unafanya mapenzi na watu wa kutisha, wanyama, n.k

Hii hali ya Kuota ndoto za kutisha, kulishwa vitu, Kuota ndoto za kutisha, kulishwa vitu, kuchanjwa usiku, kuota unafanya mapenzi na watu wa kutisha, wanyama, n.kuchanjwa usiku, kuota unafanya mapenzi na watu wa kutisha, wanyama, n.k ni dalili za wachawi wanaotumia majini na mizimu kuingia ndani ya nyumba usiku na kuchezea wanadamu wenzao. Hii na silazilama waje usiku hata wakiwa mbali wanaweza wakatuma mashetani ambao wamefanya urafiki nao kwa kutii amri za mashetani badala ya Mwenyezi Mungu Muumba kwa kufanya makafara mara kwa mara.Tiba ya kufukuza ndani ya nyumba zipo zaidi ya moja lakini nyepesi ni ya kujifukiza na kufukiza nyumba ndani dawa, dawa hii ni kama unavyo nunua dawa ya mbu au wadudu ukawafukuza na kuwaua kwa kupulizia ndani ya nyumba.
Kama mtu anaota ndoto za kutisha na kufanyiwa mambo mabaya usiku kama mwanamke kuingiliwa na mwanaume kuota anafanya mapenzi na mwanamke asiyemjua na hata akiwa anamjua. Asubuhi kuamka umechanjwa au una mikwaruzo mwilini usiyojua chanzo chake au kuamka umeteguka mguu au kukata tamaa na kujiona hufai, kuchukiwa na kila mtu, n.k
Tiba ya hali hii na kupata dawa ya mchanganyiko ya kujipaka mwili mzima kabla ya kulala ili masheitani na uchawi vinavyokusumbua na kukuweka katika mazingira yasiyokuwa ya kawaida kisaikologia vyote viondoke na uwe salama kwa Uwezo wake Mwenyezi mungu. Na hata mchawi akija kukugusa usiku atapata cha moto ukiwa umelala umejipaka dawa hii katika hali ya mafuta.

Mafuta na Sabuni ndio tiba kubwa ya mambo hayo kwa baraka za Mungu muweza aliyeumba miti na mimea ya kutoa madawa na mafuta . Kama uchawi uko mwilini na maradhi mengine sugu kuna dawa ya kunywa imesagwa ikiwa mchanganyiko wa dawa zaidi ya 32 za asili bila kemikali kwa tiba ya maradhi mengi.



Ushauri na Tiba: Mawasiliano : Email:tibaherbs@gmail.com
+255762053174/+255621870342
Tuna ofisi DSM na BUKOBA. Tanzania

Thursday, September 29, 2016

Mikosi na nuksi iletwayo na nguvu za giza kama majini, uchawi, nk

Mikosi na Nuksi ni maneno usemwa mara kwa mara endapo mtu katika jamii anaonekana tofauti kila alifanyalo na kuzaa matokeo kinyume kila mara bila kufanikisha malengo aliyotegemea hata akiwa makini kwa hali ya juu. Lakini kuna mtu mzembe na asiyejali mambo muhimu ikitokea hajafanikiwa kwa uzembe na kutojali kwake utoa sababu za hapa na pale mojawapo anadai ana mikosi au nuksi!

Kabla ya kuzania kuwa una mikosi au nuksi jihesabu na fanya tathmini kuhusu mwenendo wako wa kimaisha uko vipi na je unajitahidi kuwa makini na si mlevi, mzinifu,mwenye fitina na husuda ya kuchukia wenzako waliofanikiwa zaidi yako?

Mikosi na nuksi kutokana na nguvu za giza kama uchawi, majini na mengine kama hayo vipo kwani husuda miongoni mwetu uzaa chuki na kulogana ili kuathiri walio zaidi yetu kiuchumi na kifamilia ili nao wawe na hali ngumu!

Dalili za athari za nguvu za giza ikiwemo kulogwa, majini na mengine ya kishetani kama hayo:
  •  
  • Kujihisi huna raha moyoni pamoja na kuwa na mahitaji muhimu ya kumudu maisha
  • Kuota ndoto za kutisha kama nyoka, paka, maiti,unashambuliwa, unaongea na watu waliokufa, nk
  • Kuchukiwa na watu karibu wote na kujihisi hufai
  • Kuwa na mawazo mabaya kama kujiua, kuhama kwako,hasira na kupenda visasi
  • Kupenda sana zinaa na ulevi mpaka kila mtu anakushangaa, unatamani hata dada zako na jamaa wako kuzini nao
  • Kuhisi njaa baada ya kula na kukosa choo kiasi kwamba unakunya kama choo ya mbuzi kwa shida
  • Kusinzia kwa kustuka stuka na kuhisi moyo unadunda kwa kasi
  • Kuhisi viungo vina joto kubwa, kuhisi moto miguuni, kuchoka na kupata ganzi baadhi ya viungo
  • Kukosa nguvu za kiume au kike na kuchukia tendo la ndoa
  • Kupoteza pesa na kukosa sababu kubwa ya pesa hizo kutoonekana pindi unapozipata
  • Kuuma meno na kuongea ukiwa usingizini
  • Kuhisi tumbo lina kitu kinaviringika
  • Kutetemeka baadhi ya viungo bila sababu inayoonekana
  • Kuhisi vitu vinatembea mwilini
  • Kuhisi unapapaswa au kuna kitu kinatembea mwilini ila ukigusa au kutazama huoni kitu
  • Kusahau sana hadi mambo muhimu kwako
  • Kupoteza fahamu ukiwa kazini au unafanya kazi zako
  • Kuhisi kuna mtu anakufuata nyuma na ukiangalia huoni mtu
  • Kuitwa usiku au mchana jina lako na anayekuita humuoni
  • Kichwa kuumwa upande mmoja
  • Magonjwa sugu na hayaponi kwa dawa ulizomeza nyingi tu
  • Kufanya biashara kwa mashaka na kwa madeni yasiyolipika pamoja na juhudu kubwa
  • wateja kila kukcha wanakuhama hata kama unawajali na kutumia kauli nzuri
  • Familia kusambaratika bila sababu maalum inayoeleweka
  • Kuchukiwa na mume au mke kwa sababu ndo tu
  • Kuchukia mambo ya Mungu na kufanya ibada unakuwa mzito
  • Mazo na mifugo kudhoofika na wenzako eneo hilo hilo wako hata kama umefuata mashrti ya kilimo bora
  • Kutamani kujiua na kukosa muelekeo wa maisha kwa kuona kila kitu hakiwezekani
  • Kuahirisha mambo muhimu na muda ukapita kisha ukajuta, majuto huja baadaye

Sasa yote hayo ni baadhi ya dalili kati ya dalili za nguvu za giza

Wasiliana nasi upate ushauri na tiba Mungu atakusaidia utakuwa sawa kwa uwezo wake Mkubwa! 
Tuna ofisi DSM -Vinguguti na BUKOBA - Karibu na Victorius Hotel-OPPOSIE na LINAS CLUB nchini Tanzania
Mawasiliano ya simu: +255 762053174/+255621870342, Email: tibaherbs@gmail.com