Mungu ni mmoja na hawezi kuwepo mwingi mwingine na ukiisha fuata njia za kuamini majini na mapepo kwa kuwa mchawi au kuwatembelea waganga wapiga ramli basi unakuwa umepotea njia.
Ukiwa unaumwa mambo yasiyoeleweka na ukapima vipimo hupati majibu basi tumia dawa na tiba sahihi za kutibu athari za uchawi na majini bila kuagua, kupiga ramli wala kufanya makafara ya kishirikina kama kuambiwa chinja mbuzi, kuku, njia, pasua nazi, nk.
Usivae mahirizi ni majini na mapepo hayo na huwezi ukawa na mlinzi bila kujua anakula nini kwani hata mbwa akiwa analinda kwako unampa chakula, kama ni mlinzi umeajiri unampa mshahara, je hilo hirizi au zindiko ni mlinzi asiyeonekana na je akiwa na njaa atakula nini? Jibu liko wazi ataanza kukutesa wewe na majirani mpaka utaambiwa uhame mtaa au mji kwani watasumbuliwa na mapepo uliyopewa kama dawa.
Hizi dalili zisome kwa makini na kama unazo baadhi na umepima Hospitali huponi basi ni jibu kuwa umelogwa au una majini/mapepo
-
Kuota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na
wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una
mikwaruzo.
Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
Kutoa mimba mara kwa mara
Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
Kuongea usiku na kupiga kelele
Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
Kuota uko msituni mara kwa mara
Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
Kuota uko makaburini mara kwa mara
Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo
Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla
Kuchukia mme au mke na kumuona ana sura mbaya kama ya mbwa au nguruwe na watu wengine wanamuona kawaida na mzuri
Bosi kukulaumu mara kwa mara hata kama unafanya kazi vizuri na unajituma, mpaka watu wanasema damu zenu hazipatani!
watu kukuchukia na ndugu, jamaa, wenzako bila sababu mpaka wanasema una damu ya kunguni watu waliokuzunguka
Kutoona vizuri darasani au ofisini lakini ukiwa nje unaona kawaida
Kuhisi maisha hayana maana na kufikiri kujiua mara kwa mara
Kuota unakufa na unazikwa na mke, ndugu na marafiki wanalia na ukiamka unakuwa na mawazo mengi
Kupenda kuzini na kila unayemtamani bila kuona aibu na kuwa mlevi na kupenda maasi
- Kuna dawa sabuni ya Kuoga, Mafuta ya kujipaka na dawa za kunywa kukutibu kwa uwezo wa Mungu mmoja aliyeumba miti na kila kitu akikadiria
MT32-Hii ni dawa yenye mchanganyiko wa madawa zaidi ya 32 ya asili yaliyosagwa vizuri na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na usiyo jua mojawapo ikiwa kuondoa uchawi mwilini.
SAFISHA-Dawa hii ni ya kusafisha tumbo kama ulilishwa vitu usingizini au bila kujua kwa nia isiyo nzuri utaarisha na kutoa uchafu tumboni, Kupata choo vizuri na pia hata sumu na mafuta ya kupunguza unene inasaidia
Wasiliana nasi upate ushauri na tiba Mungu atakusaidia utakuwa sawa kwa uwezo wake Mkubwa!
Tuna ofisi DSM -Vinguguti na BUKOBA
Mawasiliano ya simu: +255 762053174/+255621870342, Email: tibaherbs@gmail.com
No comments:
Post a Comment
CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA