Sunday, October 4, 2015

Dalili hizi ni hatari kiafya na kimaisha


Hizi dalili zisome kwa makini na kama unazo baadhi na umepima Hospitali huponi basi ni jibu kuwa umelogwa au una majini/mapepo
    Kuota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
    Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
    Kutoa mimba mara kwa mara
    Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
    Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
    Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
    Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
    Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
    Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
    Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
    Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
    Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
    Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
    Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
    Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
    Kuongea usiku na kupiga kelele
    Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
    Kuota uko msituni mara kwa mara
    Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
    Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
    Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
    Kuota uko makaburini mara kwa mara
    Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo
    Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
    Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
    Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla
    Kuchukia mme au mke na kumuona ana sura mbaya kama ya mbwa au nguruwe na watu wengine wanamuona kawaida na mzuri
    Bosi kukulaumu mara kwa mara hata kama unafanya kazi vizuri na unajituma, mpaka watu wanasema damu zenu hazipatani!
    watu kukuchukia na ndugu, jamaa, wenzako bila sababu mpaka wanasema una damu ya kunguni watu waliokuzunguka
    Kutoona vizuri darasani au ofisini lakini ukiwa nje unaona kawaida
    Kuhisi maisha hayana maana na kufikiri kujiua mara kwa mara
    Kuota unakufa na unazikwa na mke, ndugu na marafiki wanalia na ukiamka unakuwa na mawazo mengi
    Kupenda kuzini na kila unayemtamani bila kuona aibu na kuwa mlevi na kupenda maasi 
    Kuna dawa sabuni ya Kuoga, Mafuta ya kujipaka na dawa za kunywa kukutibu kwa uwezo wa Mungu mmoja aliyeumba miti na kila kitu akikadiria
 Hii sabuni inaitwa POWERFUL SOAP-unaoga na kukaa na povu daika tano kisha unaosha na kujikausha na taulo unajipaka mafuta haya yanaitwa POWERFUL OIL kuanzia siku saba hadi 14, dawa zilizomo na mafuta ni kwa ajili ya kuondoa athari za nguvu za giza na kufukuza mapepo wenye kukusumbua, athari za uchawi kama mikosi na nuksi vitaondoka kwa uwezo wa Mungu aliyoweka kwenye dawa hizi.

 MT32-Hii ni dawa yenye mchanganyiko wa madawa zaidi ya 32 ya asili yaliyosagwa vizuri na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na usiyo jua mojawapo ikiwa kuondoa uchawi mwilini.
SAFISHA-Dawa hii ni ya kusafisha tumbo kama ulilishwa vitu usingizini au bila kujua kwa nia isiyo nzuri utaarisha na kutoa uchafu tumboni, Kupata choo vizuri na pia hata sumu na mafuta ya kupunguza unene inasaidia

     
     
OFISI YETU
TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM.
Contacts:
Email: tibaherbs@gmail.com
+255764041507/+255717147649

No comments:

Post a Comment

CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA