Thursday, July 9, 2015

Dua na kisomo ni tiba kubwa ya kufukuza mashetani wa aina zote

Dua na kisomo inatosha kufukuza majini na kutibu uchawi kwa uwezo wa Mungu mmoja wa pekee asiyekuwa na mshirika

Soma suratil Fatiha, Ayatul Qurusiyu mara 9 au zaidi Qul zote tatu kwa kurudia na soma Suratil Baqara 1-5 kisha mswalie Mtume mwanzo na mwisho na jitahidi kufanya mema na kusadia wenye shida utakuwa na uwezo wa kuongozwa na Allah aliyetakasika.

Kuongezea na dawa hizi itakuwa na matokeo ya haraka kwa mgonjwa Insha Allah

1.POWERFUL OIL


HAYA MAFUTA YANATIBU:


  • KUONDOA NGUVU ZA GIZA
  • KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
  • KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
  • KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
  • KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
  • KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
  • KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32

 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.

UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
  • UCHAWI ULIOKO MWILINI
  • KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
  • KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO 
  • KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
  • MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
  • KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
  • KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO




3.SAFISHA

 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).

Sasa dawa hii ina faida hizi:
  • Kupunguza uzito
  • Kuondoa uchafu tumboni
  • Kusaidia kupata choo
  • Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
  • Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
 KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI

Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.


Mawasiliano: Upate huduma

+255762053174/+255621870342


3 comments:

CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA