Sunday, July 5, 2015

Dua ,Ruqyah na Tiba ya magonjwa yenye kusumbua

Katika jamii kuna mambo mengi yanatokea kila mara kama watu kuchanjwa usiku, kuuliwa albino, kukatwa koromeo na viungo vya siri na kuondoka navyo, kuota unafanya mapenzi usiku na watu, unagombana na mtu.

Yote haya hayana majibu ya wazi kisayansi na sayansi na utafiti na ushahidi ndo unapata uhakika, sasa kutokana na utafiti wa wazi haya yote ni shughuli za kichawi na kishirikiana kati ya wanadamu wachawi wanashirikiana na majini na mapepo wa aina zote kufanya machafu haya na ya kuchukizwa kwa maficho au wazi kwani wanamuabudu shetani na kumuasi Mungu mmoja wa pekee.

Kuna tiba yake kama umelogwa au unaingiliwa na jini, sehemu ya DSM Keko Magurumbasi simu ni hizi:

+255 655492415/+255754492415

No comments:

Post a Comment

CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA