Sasa ili kuongeza imani na kuelekea kwenye ucha Mungu wa kweli inabidi kujizoeza kufanya haya yafuatayo kila siku kwa dhati ya kutaka radhi za Allah(SW)
Kusali swala tano na suna zake
Kusoma Qur'an mara kwa mara na kuzingatia yaliyomo na kisha kuyatenda kwa dhati
Kumsabihi, Kumhimidi na kumtukuza Allah(SW)
Kutafakari maumbile ya ulimwengu na kila kilichomo hukatambua kuwa Allah ndiyo kaviumba na hapo kumpenda kwa kutii Amri zake
Kutoa Sadaqa kwa wahitaji na kusaidia ujenzi wa misikiti
Kulisha maskini na mayatima bila kusahau wajane
Kufunga funga za saumu na kusali Tahajudi(Sala ya usiku kuanzia saa nane mpaka saa kumi) chagua muda dakika hata kumi sali usiku walau rakaa mbili zitakufanya uwe karibu na Allah
Tembelea wagonjwa na hudhuria mazishi kwani kuna somo pale na wewe utazikwa na waislamu kwahiyo jitahidi kuzika wenzako wanaotangulia
Jiepushe na kusengenya, kuangalia michezo ya kuigiza yenye kukufuru na kuharibu tabia njema
Jiepushe kusikiliza miziki na kukaa katika sehemu za vijiwe kwani lazima utashirikishwa kusengenya na kukosa swala kwa wakati
Jiepushe kikasirika ghafla kwani shetani upitia kwenye hasira
Kaa na udhu wa kusali muda wote yaani kaa Twahara muda wote na ukiingia chooni pata udhu tena
Jiepushe kukaa na mwanamke au msichana faraga bila mtu mwingine karibu kwani sheitwani wakika watu wawili jinsia tofauti na huyo mtu si ndugu yako basi sheitwani huwa wa tatu na anakuwa kama mshenga wa kushawishi zinaa
Tubia na usirudie kosa kwa kuzuilia nafsi yako pindi inapotaka kukuvuta kwenye maasi na kuwa makini na sheitwani kwani ni adui mkubwa kwa wanadamu hasa waislamu.
Ukiwa kwenye watu, safarini, mistari ya benki fanya dhikiri kimoyo hii inaonyesha kuwa makini na kutumia muda wako vizuri kusafisha moyo na kupata thawabu kutoka kwa Allah(SW)
Tamka LAA ILLAAH ILLA LLAHU mara nyingi kwani ni kusafisha imani yako kwa kauli ya Mtume Muhammad(SAW).
Tiba sahihi ya magonjwa yasiyopata majibu kisayansi ni maombi na madawa ya kunywa na kujipaka.
- Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
- Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
- Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
- Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
- Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
- Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
- Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
- Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
- Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
- Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
- Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
- Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
- Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
- Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
- Kuongea usiku na kupiga kelele
- Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
- Kuota uko msituni mara kwa mara
- Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
- Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
- Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
- Kuota uko makaburini mara kwa mara
- Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo
- Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
- Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
- Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla
Dalili hizo ni za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini yanayokusumbua ya kiuchawi
Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.
Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.
Dawa nyingine za kunywa ni hizi:
Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.
- POWERFUL OIL
- MT32
- SAFISHA
MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA.
1.POWERFUL OIL
HAYA MAFUTA YANATIBU:
- KUONDOA NGUVU ZA GIZA
- KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
- KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
- KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
- KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
- KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
- KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.
UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
- UCHAWI ULIOKO MWILINI
- KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
- KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO
- KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
- MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
- KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
- KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO
3.SAFISHA
Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).
Sasa dawa hii ina faida hizi:
- Kupunguza uzito
- Kuondoa uchafu tumboni
- Kusaidia kupata choo
- Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
- Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.
OFISI YETU
TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM.
Contacts:
Email: tibaherbs@gmail.com
+255764041507/+255717147649
+255764041507/+255717147649
Dar es Salaam, Tanzania.
No comments:
Post a Comment
CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA