FIQ-H A’QAAID
Mwenyezi Mungu
Mtukufu
1. Mwenyezi Mungu
Mtukufu hajielezi kwa
mtu yoyote.
2. Lazima tukubali
Maamuzi ya Mwenyezi
Mungu Mtukufu.
3. Tusilalamike na
matendo ya Mwenyezi
Mungu Mtukufu.
4. Mwenyezi Mungu Mtukufu
anawapenda walio watiifu.
5. Mwenyezi Mungu
Mtukufu pekee ndie
anae jua matukio
yatakayotokea baadae.
6. Mwenyezi Mungu
Mtukufu pekee ndie
anajua wakati gain
mtu atazaliwa na
Wakati gani.atakufa.
7. Mwenyezi Mungu
Mtukufu pekee ndie anayeleta
mvua.
8. Mwenyezi Mungu
Mtukufu pekee ndie
anaewaponesha wagonjwa.
9. Mwenyezi Mungu
Mtikufu ndie anaebariki,
na anawafanya watu
kua matajiri au
Maskini.
10. Mwenyezi
Mungu Mtukufu pekee
ni Mfalme wa wafalme wote.
11. Mwenyezi
Mungu Mtukufu pekee
ndie mwingi wa
kurehemu.
12. Mwenyezi
Mungu Mtukufu ni
mwingi wa msamaha.
13. Mwenyezi
Mungu Mtukufu ndie
anaempa mtu heshima
na cheo.
14. Mwenyezi
Mungu Mtukufu ni
msikivu na huona
kila kitu.
15. Menyezi
Mungu Mtukufu pekee
ndie anaefaidisha au
anaweza kumuathiri mtu
Yoyote.
16. Mwenyezi
Mungu Mtukufu anatoa
muongozo kwa yule
anae mtaka.
17. Mwenyezi Mungu
Mtukufu anamwaga rehma
zake kwa viumbe
vyake vyote.
18. Mwenyezi
Mungu Mtukufu pekee
ndie anae toa
riziki.
19. Tujaribu kuzilinda
imani zetu na
tuishi kutokana na
mafundisho ya Mwenyezi
Mungu Mtukufu
na kipenzi chake
mtune Muhammad(s.a.w).
Kalimatut Tawhiid
Laa ilaaha illa
llah wahdahu laa shariikalahu
lahul mulku walahul
hamdu yuhyii wayumiitu
biyadihilkhayru wahuwa a’laa kulli shay in qadiiru.
Tafsiri
Hapana Mola apasaye
kuabudiwa kwa haki ila
Allah ni mmoja
na hana mshirika. Ufalme ni kwake na
sifa zote njema
ni zakwake. Anatoa maisha
na anasababisha kifo
katika mikono yake
yote ni mazuri
na anauwezo wa
kila kitu.(Tir mithiy)
FIQ-H DINIYAAT
HANAFIY
Kuna faradh
ngapi za udhu?
(umoja faradh, wingi
faraa-idh)
Kuna faradh nne
za udhu.
Faradh za
udhu ni:
- Kuosha uso
wote mara moja.
- Kuosha mikono
yote mpaka kwenye
vifundoni mara moja.
- Kupaka maji
katika kichwa angalo
robo mara moja.
- Kuosha miguu
yote mpaka kwenye
vifundo mara moja.
Jinsi
ya kuweka udhu.
- Elekea qibla
wakati wa kuweka
udhu; baadae weak nia
ya kuchukua udhu.
- Soma: Bismillahr Rahmaanir Rahiim.
Kwa jina
la mwenyezi Mungu,
Mwenye kuneemesha neema
kubwakubwa na Mwenye
kuneemesha neema ndogondogo.
3. Tumia
mswaki na baadae
osha viganja vyote viwili
mpaka kwnye vifundo
mara
tatu. (Khilaal ya
vidole ifanywe wakati
wa kuosha mikono.mwanzoni
mwa kuweka
udhu.
4.
Sukutua mara tatu
(tumia mkono wa
kulia).
- Weka maji
kwenye pua na
safisha tundu za
pua kwa kutumia
kidole cha
Kushoto mara
tatu.
- Osha uso
wote mara tatu.
7. Eneo
la uso ni
kutoka kwenye mstari wa
nywele juu ya
paji la uso
mpaka
chini ya
kidevu, na kutoka kwenye
sikio hadi sikio jenjine. Maji
lazima
yafike
kwenye ngozi ilioko
chini ya nyusi.
8. Osha
mkono wa kulia
mpaka kwenye vifundo
vya juumara tatu, baadae
Osha
mkono wa kushoto mpaka
kwenye vifundo vya
juu mara tatu.
- Fanya mas-h
ya kichwa chote, masikio, sehemu ya
nyuma ya shingo, na
Kufanya khilaal
ya ndevu na
vidole vya mikono
yote.
- Baadae osha
mguu wa kulia mpaka
kwenye vifundo mara
tatu; ukisha
Osha mguu
wa kushoto kwa
utaratibu huo huo
mara tatu. (Khilaal ya
Vidole vya
miguuni ifantike mwanzoni wakati
wa kuosha miguu).
- Baadae fanya
khilaal ya vidole
vya miguu.
- Soma dua
baada ya kuchukua
udhu.
Maelezo kwa Ustaadh
Wafahamishe wanafunzi
kwamba khilaal ni
kupitisha vidole vyenye maji vya
mkono mmoja hadi
vidole vyenye maji
vya mkono mwingine.
Khilaal ya ndevu
ni kupitisha vidole
vyenye maji vya
mikono yote kwenye ndevu
ikiwa ikiwa viganja
vyote vikielekea kwenye uso. Musha na
khilaal lazima zielezwe
kwa vitendo na
waonyeshwe wanafunzi.
Ni
yapi majina yaswala
tano za kila siku?
Faj-r
Adhdhuh-r
Laa’swi-r
Maghrib
Ishaa’
Ni yapi majina
ya miezi ya
kiislam?
Majina ya
miezi ya mwaka
ni:
1. Muharram
2. Safar
3. Rabiul Awwal
4. Rabiul Aakhir
5. Jumadal Uulaa
6. Jumaadal Aakhir
7. Rajab
8. Shaabaan
9. Ramadhaan
10. Shawwal
11. DhulKaadah
12. DhulHijja
E. FIQ-H: AADAAB
Jinsi Namna Gani waislam
watumie choo?
1.Waislam mwanzo
wasome Bismillah na dua
ya kuingia chooni.(Allahumma inniy audhubika minal ubuth wal abaith)
2. Waislam waingie
chooni kwa kuanzia
mguu wa kushoto
mwanzo.
3. Waislam wasiingie chooni
bila kuhifadhi kichwa.
4. Waislam
wasende chooni bila
viatu.
5. Waislam wasichuchumae
chooni wakiwa wameelekea
Qibla na wala
wasikae wakiwa migongo
yao imeelekea Qibla.
6. Waislam haatakiwi
kula, kunywa, au kuongea
chooni.
7. Waislam hawaruhusiwi
kusoma vitabu au
magazeti chooni.
8. Waislam hawaruhusiwi kusoma
dua, kalmia au aya ya
Qur-aan chooni.
9. Waislam hawaruhusiwi kukojoa kwa kusimama
sehemu yoyote hata kama
ni chooni au ni
sehemu ya kuogea.
10. Waislam hawaruhusiwi
kusimama na kukojoa
na kukojoa kwenye vichochoro vya
majengo au nyumba, kwenye ukuta, kwenye
vipango na mashimo juu
ya miti, ,au sehemu
ya juu au
kupingana na upepo.
11. Mkojo
na choo kikubwa
ni najisi na
si twahara. Hivi si
twahara wala sio
safi kutokana na
Dini yetu. Mkojo na
choo kikubwa lazima
visafishwe na ziondolewe katika
mwili, nguo, viatu na
sehemu tunazotumia kwa
kuosha. Hii ifanyike
kwa kutumia maji safi.
12. Kuosha sehemu
za siri inapotokea
haja ndogo na
kubwa inaitw istinjaa.
13.
Waislam wafanye istinjaa
kwa kutumia mkono
wa kushoto, atumie maji baada
ya kukojoa au
baada ya kujisaidia.
14.
Waislam watoke nje
ya choo kwa
mguu wa kulia.
15.
Waislam waoshe mikono
yao inapendeza kwa
kutumia sabuni,baada ya
kutoka chooni.
16.
Waislam wasijisaidie:
a) Kwenye mitaa
au hadharani.
b) Chini ya
miti ya matunda.
c) Miti ambayo imeoteshwa kwa
ajili ya kivuli
pembeni mwa barabara.
d) Kwenye bustani
za binafsi au za wote.
e) Kwenye mabawa
ya kuogelea au
mabawa ya maji.
f)
Sehemu za kuhifadhia
maji au sehemu
zinazomwagiliwa maji.
g) Pembeni
mwa
handaki
au
mto.
OFISI YETU
TUNA
OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM VINGUGUTI. UKIFIKA BUGURUNI SHEL SHUKA NA
UPANDE MAGARI YA KWENDA VINGUGUTI , TELEMKA KITUO CHA POLISI KIITWACHO
MTAKUJA. OFISI YETU IPO KARIBU NA NEW KINYUMA HOTEL.
UKIPANDA PIKIPIKI KUTOKA BUGURUNI SHEL NI SH 1,500/= TU KUFIKA OFISINI.
KWA MAELEZO ZAIDI TUMIA MAWASILIANO HAYA:
+255 752822056 ,+255654454398, +255 762219617
Email: tibaherbs@gmail.com