Tuesday, May 1, 2012

Umma Bora Duniani

Umma bora duniani kuliko umma zote zilizopita ni umma wenye kuamrisha kufanya mema na kuzuia kufanya maovu hapa duniani. Hii kazi ilifanywa na mitume pekee yao huku enzi za mitume, lakini Mwenyezi Mungu anasema ndani ya Qur'an kuwa waislamu ni umma bora kama wataamrisha mema na kukataza mabaya.

Kwa hiyo mtu yoyote akitaka kuwa bora hapa duniani na kesho Akhera lazi aamrishe mema na kukataza maovu, hii ina maana akiona maovu kama wizi, uzinifu, uchawi, ulevi, ugomvi, n.k inabidi akataze kwa uwezo wake yasiendelee kufanyika katika jamii na aamrishe kusali, kutoa zaka, kuacha dhuluma zozote hii itamfanya awe bora mbele ya mwenyezi Mungu na atakuwa katika umma bora uliokusudiwa.

nafikiri hakuna mtu asiyetaka kuwa katika umma bora kwa kumarisha mema na kukataza mabaya na yeye kuwa mfano kwa yale anayoyaamrisha kuyafanya wengine mema

OFISI YETU

TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM VINGUGUTI. UKIFIKA BUGURUNI SHEL SHUKA NA UPANDE MAGARI YA KWENDA VINGUGUTI , TELEMKA KITUO CHA POLISI KIITWACHO MTAKUJA. OFISI YETU IPO KARIBU NA NEW KINYUMA HOTEL.
UKIPANDA PIKIPIKI KUTOKA BUGURUNI SHEL NI SH 1,500/= TU KUFIKA OFISINI.

KWA MAELEZO ZAIDI TUMIA MAWASILIANO HAYA:

+255 752822056 ,+255654454398, +255 762219617

Email: tibaherbs@gmail.com

No comments:

Post a Comment

CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA