Kila kiungo cha mwanadamu kina kazi mahsusi na ikitokea kiungo chochote kikashindwa kufanya kazi yake basi mwanadamu hukosa raha na amani na kuanza kuangaika kutafuta tiba yake. Mwenyezi Mungu muumba ndiye aliyeumba mwanadamu na viungo vyake vyote na kuvipangia kanuni ya kufanya kazi kimaumbile, kwa hiyo basi wa kuomba sana pindi tukiumwa ni yeye kwanza na baadaye atatupa mwongozo wa tiba katika kuangaika kutafuta dawa yeye ataamua dawa ipi tupate tupone au tusipone, hii nasema kwa sababu dawa inabidi itumike lakini tukiwa tunajua mwenye kubariki dawa hii ni Mwenyezi Mungu na hapo ndipo yeye ataamua tukapona kwa baraka zake. Ingawa wanadamu tuna jeuri tunapokuwa na afya nzuri na tunajiona kuwa afya yetu tumeimiliki vilivyo na tunasahau hata kusali, kutoa zaka, sadaqa, ila tunazama kwenye machafu kama zinaa, pombe, kamali, n.k. Tunapoumwa tu ndipo wengine tunmuomba Mwenyezi Mungu kwa imani ya kuogopa na akikubali maombi yetu wengine tunarudi huko huko kwenye maasi na hii ni kasumba ya wanadamu kusahau haraka na kufikiri dunia hii wataishi milele na kujidanganya kuwa mtu akifa yameisha hataulizwa kwa yale aliyofanya alipo kuwa hai!! Kila jema au baya liwe dogo vipi utaulizwa na utalipwa kwayo na Mwenyezi Mungu ni mwingi wa msamaha basi tubu leo hii na uomb msameaha urudi kwa Mola wako aliyekuumba kutoka katika manii na ukakaa katika kizazi cha mama yako miezi takribani tisa. Tiba ya nguvu za kiume ni: Acha zinaa kwanza Acha sigara kama unavuta Punguza vyakula vya mafuta Chukua Habati thufa saga weka ndani ya maziwa fresh moto kijiko kimoja cha chakula na kunywa mara 2 kwa siku fanya hivyo kwa siku 7 Na kunywa chai yenye mdalasini na tangawizi kila jioni |
Kupata usingiziFanya Mazoezi ya viungo kama kutembea dakika 15, fyeka uwanja au lima bustanini mpaka uchokeKunywa maziwa fresh moto kila jioniTumbo lisiloponaTafuta sanamaki kiasi cha kujaa viganja viwiliChemsha maji lita tanoToa maji kwenye moto na hapo weka viganya viwili vya sanamaki kwenye maji ya moto hayo subiri ipoe na weka kwenye chombo safi na hapo weka asali lita moja na changanya iwe mchanganyikoTumia asubuhi na jioni glasi moja moja na utaharisha kusafisha tumbo, tumia mpaka dawa iishe.Kuota ndoto za kutisha usiku na watoto kusutuka usingiziniNunua dawa inayoitwa mvuje(Altiti)Weka kwenye mafuta kama vaseline na changanya, kila ukitaka kulala jipake mchanganyiko huo |
Tiba sahihi ya magonjwa yasiyopata majibu kisayansi ni maombi na madawa ya kunywa na kujipaka.
- Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
- Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
- Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
- Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
- Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
- Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
- Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
- Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
- Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
- Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
- Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
- Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
- Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
- Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
- Kuongea usiku na kupiga kelele
- Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
- Kuota uko msituni mara kwa mara
- Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
- Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
- Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
- Kuota uko makaburini mara kwa mara
- Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo
- Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
- Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
- Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla
Dalili hizo ni za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini yanayokusumbua ya kiuchawi
Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.
Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.
Dawa nyingine za kunywa ni hizi:
Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.
- POWERFUL OIL
- MT32
- SAFISHA
MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA.
1.POWERFUL OIL
HAYA MAFUTA YANATIBU:
- KUONDOA NGUVU ZA GIZA
- KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
- KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
- KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
- KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
- KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
- KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.
UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
- UCHAWI ULIOKO MWILINI
- KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
- KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO
- KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
- MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
- KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
- KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO
3.SAFISHA
Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).
Sasa dawa hii ina faida hizi:
- Kupunguza uzito
- Kuondoa uchafu tumboni
- Kusaidia kupata choo
- Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
- Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.
Mawasiliano: Upate huduma
No comments:
Post a Comment
CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA