Sunday, December 22, 2013

Madhara ya uchawi na ushirikina kwa mtu binafsi na shuguli zake

Uchawi ni hali ya mtu au watu kushirikiana na Mashetani wa aina mbali mbali kama majini, mizimu na kiongozi wao Mkuu Lucifer au Azaazil ili kufanya mambo ya kumkufuru Mungu na kuhakikisha wanadamu wanaokufuru Mungu wanakuwa marafiki wa Lucifer/Azaazil na kundi lake.

Mchawi hawezi kufanikiwa kama yeye mpaka afanye urafiki na shetani kwa kutii shetani na kuwa mtumwa wake ili shetani afurahi na ampe ushirikiano wa kufanya uharibifu duniani na kuwadhuru wanadamu wenzake kwa nguvu za kishetani basi ndo uchawi unafanyika.

Shetani siku hizi amepata kundi kubwa la wafuasi kwani sasa hivi uchawi na ushirikina duniani umepamba moto kila sehemu na wafuasi wake wnaongezeka kila kukicha mpaka sasa hivi tovuti za kujiunga na kundi la shetani zimeongezeka na vyama vyao vinatangaza wazi wazi na uchawi unauzwa kama bidha zozote zinvyouzwa madukani, tunaona wanauzwa voo voo doll za ushirikina mpaka kwenye mtandao na unaletewa mpaka ulipo kupitia posta au njia ya express. Hii ni hatari kwa watu watakao kuwa hawamtegemei Mwenyezi Mungu wa pekee wataangaika sana tena sana kwani hata mtu akianza ushirikina mwisho wake ni kuangamia na hafiki popote labda kujidhuru na kuwadhuru wenzake.

Sasa kuna wimbi la waganga wa kienyeji wanavyojiita Madokta bila hata kufanya utafiti wowote na kuwadanganya watu kuwa wanatoa madawa ya bahati, mapenzi, akili na chungu mzima ya uongo na mtu akiwaendea wanachukua pesa yake na kumdanganya wakati njia sahihi hawazijui na hawafanyi utafiti na hata wakifanya utafiti wanatakisha pesa nyingi watu wenye matatizo ya kiushirikina na wengine bila hata kupata nafuu wala kupona.

Madhara ya Uchawi na Ushikina

Kwanza mtu ufanyiwe uchawi kwa mkataba na masheitwani wa kijini na hata nguvu za giza nyingine ili ihakikishwe anasumbuliwa na hatulii kwenye mipango yake na hata mwili wake uchafuliwa na kuwa mwenye matatizo ya kisaikolojia na watu wanamuona kawaida au mkorofi wengine eti nazo akili nyingi zilimzidi wengine eti mtundu kumbe maskini ushirikina unamuendesha kama Remote inavyo ongoza TV na kuibadilisha channel. Baadhi ya watu uishia kufanya mambo yasiyokuwa na faida kwao na mwishowe ukata tamaa kabisa na hapo ndipo udai kuwa Mungu ametaka hivyo. Mungu ameisha tupa akili na nguvu pia na raslimali wengine tuna elimu ya kutosha lakini mtu anaishia pabaya kwa nguvu za giza wakati mwingine. Hii inattokea mtu anasema hakuna lakini ujue kuwa unapopata baraka na neema yoyote jamaa tena ndugu wenye roho mbaya wanakuhusudu kwa nia mbaya na kama ni wachawi wanakufanyia uchawi ili neema zote ziporomoke na uwe na matatizo na uangamie na hapo wanafurahi.

Ukitaka kufanya utafiti ingia katika kundi la watu na kitu kipya kizuri kati yao sura zingine zitajikunja, wengine wataangalia pembeni kama hawakujui na wengine watafurahi na huku wakikupongeza basi wale wenye kukunja uso na walio angalia pembeni mioyo yao itakuwa imepita husuda mbaya ya kwa nini ufanikiwe? Hawa watu wenye husuda ni chanzo cha uchawi na kama wengine hawajui uchawi wafaya uchawi wa fitina ili wakuzushie na kukupiga vita bila sababu.

Watu wanachezewa mpaka wanakuwa kama wajinga wakati walikuwa wabunifu wachapa kazi na wengine wanachezewa mpaka nguvu za kiume zinapotea na wanawake wanachezewa mpaka mimba hazikamati na ikikamata inatoka, watu wanachezea watoto wa jamaa zao au rafiki wanaacha kuona darasani na wakitoka nje ya darasa wanaona, watu wanachezea mtu anachukiwa na kila mtu, wanachezea mtu anakuwa mzembe, wanachezea mtu anaendesha gari baadaye anaona ukungu au gari inataka kumgonga na anapoikwepa anaingia mtaroni au mtoni au anagonga jingine na watu wanakufa na watu wanachezea ndoa za watu ziharibike wavurugane na kachana.

Kwa kweli mambo ya kuloga na uchawi  yanarudisha maendeleo nyuma ya mtu na watu kwa ujumla kiasi kwamba anaangaika kutibiwa badala ya kufanya kazi ya kujikimu kimaisha na kama anajitibu bila kujua anatibu nini atatembea kweli mwingine hata Ulaya au India kutibiwa na ikiishindikana anarudi na kutibiwa kirahisi kwa watu wanaojua ugonjwa wakawaida unapimwa vipi na huu wa kiuchawi una dalili  zipi na utachekiwa vipi.

Kutokana utafiti niliofanya uchawi na ushirikina dalili zake kuu ni kulala usiku vibaya kwa kuota ndota mbaya kama wanyama wanaotisha, kuingiliwa na wanawake au mwanaume usingizi na kufanya tendo la ndoa mara kwa mara, kuumwa kichwa upande mmoja, kukata tamaa na kusikia moyo unakwenda mbio, kupenda kukaa peke yako na kuhisi kuna mtu anakufuata nyuma na ukicheki huoni mtu, kupenda maasi sana kama kupeda kuzini au kuziniwa mara kwa mara, kupenda kuvuta sigara, kunywa pombe,kuvuta bangi na machafu mengine na hii inaongezeka unapozidi kukua, mwanamke kuwa kila mara kugombana bila sababu ya msingi, kuwa kila saa ni mwenye kuchukiwa kazini, kibiashara wakati hujafanya jambo baya au kumuudhi mtu mahali ulipo, hii inatoka na shetani kujenga fitina kwenye nyoyo za watu ili uwe na negative yaani asi kwao na wakuone huna lolote na si wa maana kwao.

Haya yote juu yanaweza ya kaisha kutokana na tiba mbali mbali za kutibu aina ya uchawi na majini mbali mbali kwa kila dalili inaweza kuashiria uchawi fulani na majini fulani kama unavyoona malaria inatibiwa na dawa zake na amoeba dawa zake na typhoid dawa zake, kwa hiyo hata magonjwa ya kiuchawi yana dawa tofauti kutikana uchawi gani umelengwa kama ni kukuchafua na kukuharibia mafanikio yako ni tofauti tiba yake na ile ya kuingiliwa ndotoni wa watu usiowajua mkafanya mapenzi na pengine wanyama, kama ni ya kukufanya upate stroke ni tofauti na ile ya kukufanya ukate tamaa na uangamie mpaka ukae nyumbani.

Dawa hizi za kujipaka, kunywa, au kujifukiza na wakati mwingine kunyunyizia kwenye nyumba kwani majini na mapepo yanapenda kuishi kwenye nyumba na kushugulikia watu vizuri kama yanavyoagizwa na wachawi mengine yanakuja yenyewe na mengine yanaishi mwilini kwenye damu inapofika yanazunguka na damu.

Dawa hizi zinaondoa athari za uchawi mara moja kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu Muumba na muweza wa kila kitu kwani zimefanyiwa utafiti na watu wengi wanazitumia mambo ya kufanyiwa ubaya usiku na wachawi, majini, na mapepo wengine wote wabaya yanaisha na hali ya kutoweza inaisha wanakuwa na nuru na nguvu za giza zinawatoka wanakuwa sawa na kufanya shuguli zao.

Hizi hazina masharti yoyote ya kishirikina kwani unajipaka wakati wa kulala na Asubuhi, Nyingine kama nikufukuza kwenye nyumba nikunyunyizia na nyingingine nikuweka kwenye chai kama unga ukanywa kusafisha mwili wako na damu kwa ujumla ili uchawi na nguvu za giza zikuachie. Ukitaka ya kujifukiza na kufukizia kwenye nyumba nayo unapata.
Madawa utaelekezwa na tiba yake wewe utanunua na kutumia ili upone na utokane na matatizo haya kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu atatia baraka utapona. Hizi dawa utaelekezwa madukani ununue kwa bei ndogo tu kuliko kudanganywa na waganga waliojaa kila mahali siku hizi wa kakutoa malaki na hata bila kukwambia dawa na pengine hata bila kukupa dawa sahihi.

Tiba sahihi ya magonjwa yasiyopata majibu kisayansi ni maombi na madawa ya kunywa na kujipaka.

  • Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
  • Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
  • Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
  • Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
  • Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
  • Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
  • Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
  • Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
  • Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
  • Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
  • Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
  • Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
  • Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
  • Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
  • Kuongea usiku na kupiga kelele
  • Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
  • Kuota uko msituni mara kwa mara
  • Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
  • Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
  • Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
  • Kuota uko makaburini mara kwa mara
  • Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo
  • Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
  • Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
  • Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla

Dalili hizo ni za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini yanayokusumbua ya kiuchawi


Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.

Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.

Dawa nyingine za kunywa ni hizi:

Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.


 MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
  1. POWERFUL OIL
  2. MT32
  3. SAFISHA

MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 

1.POWERFUL OIL


HAYA MAFUTA YANATIBU:

  • KUONDOA NGUVU ZA GIZA
  • KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
  • KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
  • KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
  • KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
  • KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
  • KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32

 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.

UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
  • UCHAWI ULIOKO MWILINI
  • KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
  • KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO 
  • KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
  • MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
  • KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
  • KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO




3.SAFISHA

 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).

Sasa dawa hii ina faida hizi:
  • Kupunguza uzito
  • Kuondoa uchafu tumboni
  • Kusaidia kupata choo
  • Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
  • Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
 KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI

Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.

OFISI YETU

TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM.

Contacts:
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255764041507/+255717147649

Dar es Salaam, Tanzania.



No comments:

Post a Comment

CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA