Friday, December 27, 2013

Kwa nini watu kufanyiwa uchawi/kulogwa siku hizi kumeongezeka?

Kwanza siku hizi binadamu ameongeza harakati za kutegemea nguvu za giza katika biashara, mapenzi, kulipiza kisasi, uongozi, n.k.

Wanadamu wanaamini huwezI kufanikiwa bila kuwa na mitishamba ambayo ndo vazi la majini na msshetani wa aina mbali mbali. Waganga washirikina wanafanya makafara na wanapewa uwezo wa kuamuru majini/mashetani kuwafanyia kazi zao kwa nipe nikupe maana mshirikina kwanza afanye kufuru na shetani akubali kumfanyia kazi. Hii miti unayopewa na madawa ya kuweka kwenye biashara yako na nyumbani kwako eti kinga ndo majini/mashetani umepewa wawe walinzi na ujue kuwa hawa walinzi inabidi wale na wanywe, jua wewe uwaoni kam unavyokuwa na walinzi au mbwa ukampa chakula akiumwa njaa si anabweka unajua kuwa anayo njaa na unampa chakula, lakini hawa majini/mashetani yakiumwa njaa hawasemi wala huwaoni na mganga mshirikina hayaoni ila anacheki dalili tu na asipoielewa basi hapo itakuwa shida kati ya wewe aliyepewa miti au dawa uweke kwako au uzike ndani ya shamba. Yatakunywa damu ya mifugo yako, watoto wako na baadaye majirani na hapo itakuwa balaa kwako utaanza kuangaika na mganga atakwambia umekosea na utafanya makafara mengine na hatimaye utaanza eti kuwasukumia wengine tayari maisha yanakuwa machungu na wewe unakuwa mchawi sasa na mwisho wako unakuwa mbaya.

Sasa hali hii inafanywa kila sehemu na matokeo majini na uchawi vimezagaa kila sehemu kwani watu wanayaabdu na kumuacha Mwenyezi Mungu mmoja wa pekee na mwenye nguvu na uwezo wa juu zaidi, sasa imekuja uongo huu wa pesa ya freemasons na watu wanataka wawe matajiri kumbe hawajui hakuna utajiri wa halali kwa kutegemea majini na uchawi na hakuna raha kwa kutegemea majini na chuma ulete ila nikaandaa maisha yenye dhiki na shida duniani na baada ya kifo na unakufa kifo kibaya kama si kudhalilika ulimwenguni. Tafuta pesa kwa kuzalisha mali kupitia asseti na uwekezaji katika kilimo na kuweka akiba taratibu na kuzalisha mali siyo kutegemea ushirikina.

Kwa hiyo uchawi umeongezeka kutokana na tamaa, husuda, ujinga na kupenda sana starehe bila kufanya kazi. Pia mashetani na majini yanapenda miziki na ngoma, pili uchafu na watu waliovaa nguo zisizo za stara. Majini yanawaingilia usiku wanaopendelea kutembea mchana na nguo fupi na zile zenye kuonyesha mwili kwa ndani trasparent. Yoyote ukiongea naya kama ni jamaa yako mvaa nguo kama yuko nusu uchi atakwambia usiku anaingiliwa na watu asiowajua au hata wanyama na kufanya naye mapenzi maskini! sasa siku hizi ni kama mtindo kwa wasomi na watu wa elimu ya chini wote mtindo mmoja kuvaa nusu uchi. Matokeo yake majini na mashetani yamepata watu wakuyatunza na yameoa bila kutoa mahali na wala bila ruhusa ya muolewaji ili mradi anavaa nguo zisizo za stara.

 Ukiona umetibiwa na hospitali hawaoni ugonjwa na dalili za kuumwa wewe unazisikia sana na usiku unaota ndoto za kutisha, kulishwa vyakula, kuota unalala na wanaume au wanawake mara kwa mara usiowajua na wakati mwingine unaingiliwa na wanyama kama paka, sokwe, nk au unaumwa na nyoka basi tafuta tiba na nunua kitabu hiki kwani utajitibu mwenyewe madhara yote ya uchawi na majini. utalipia shs 4500 kwa Mpesa au Air Tel money na utatumiwa kwenye email yako udownload na fomula zote za tiba kuhusu ushirikina zipo umo
Tiba sahihi ya magonjwa yasiyopata majibu kisayansi ni maombi na madawa ya kunywa na kujipaka.

  • Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
  • Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
  • Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
  • Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
  • Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
  • Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
  • Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
  • Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
  • Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
  • Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
  • Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
  • Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
  • Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
  • Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
  • Kuongea usiku na kupiga kelele
  • Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
  • Kuota uko msituni mara kwa mara
  • Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
  • Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
  • Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
  • Kuota uko makaburini mara kwa mara
  • Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo
  • Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
  • Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
  • Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla

Dalili hizo ni za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini yanayokusumbua ya kiuchawi


Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.

Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.

Dawa nyingine za kunywa ni hizi:

Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.


 MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
  1. POWERFUL OIL
  2. MT32
  3. SAFISHA

MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 

1.POWERFUL OIL


HAYA MAFUTA YANATIBU:

  • KUONDOA NGUVU ZA GIZA
  • KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
  • KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
  • KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
  • KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
  • KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
  • KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32

 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.

UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
  • UCHAWI ULIOKO MWILINI
  • KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
  • KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO 
  • KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
  • MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
  • KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
  • KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO




3.SAFISHA

 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).

Sasa dawa hii ina faida hizi:
  • Kupunguza uzito
  • Kuondoa uchafu tumboni
  • Kusaidia kupata choo
  • Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
  • Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
 KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI

Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.

OFISI YETU

TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM.

Contacts:
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255764041507/+255717147649

Dar es Salaam, Tanzania.

No comments:

Post a Comment

CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA