Wednesday, January 18, 2012

Umuhimu wa kutumia wakati vizuri katika uislamu: Na. Mwalimu Twaibu Athumani-Msikiti Kashai Markaz

Baada ya sala ya ishah mwalimu Twaibu Athumani ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Qudus English Medium Primary School na mwalimu wa masomo ya dini Markaz ya Kashai mjini Bukoba ametoa mawaidha kuhusu matumizi ya wakati baada ya kusalisha sala ya ishah.

Amenukuu aya za Qur'an na Hadith za Mtume Muhamad(SAW) kuhusu waja wa mwenyezimungu wema na sifa zao kama kusali kwa muda na kuzingatia sala zao, kuhifadhi tupu zao, kupuuza sehemu za laghawi na kutumia muda wao kwa mambo ya kheri na kuongea na wajinga kwa salama, kutoa mali kwa ajili ya kutaka radhi za Allah(SW) katika mali zao walizochuma kwa alali, kutubia na kujihesabu nafsi zao kila mara na kufanya ibada za usiku kama sala ya tahajudi.
MwalimuTwaibu Athumani ameendelea kuwakumbusha waislamu katika msikiti wa Kashai Markaz kuhusu masikitiko yanayotokea kwa muislamu kupata hasara katika mambo yake binafsi kama biashara kilimo n.k lakini muislamu huyo huyo hawezi kusikitika kwa kupungukiwa siku katika umri kila kunapokucha na kuangalia ametanguliza nini huko Akhera, je ametanguliza heri au shari? Mpaka akatoa mfano wa mtu anayepima uzito wake kila siku akigundua kuna tofauti hata ya kilo moja ya uzito wake bila kutegemea anajiuliza na kusikitika pamoja na kutafuta sababu ya kupata uzito tofauti siku hiyo, hii inaonyesha wanadamu kutokuwa na umakini kuhusu umri wao kuisha bila heri na amali za kumridhisha Allah(SW), tunapashwa kila siku kusikitika kwa kupoteza kila tarehe bila kujua tumefanya nini cha kumfurahisha Allah?(SW). Tunapashwa tujitahidi sana kuomba istighfar mara 100 kila siku kama alivyokuwa anafanya Mtume(SAW) na kumbuka mtume alikuwa ameisha ambiwa na Allah(SAW) kuwa ni mtu wa peponi lakini alikuwa akifanya istghfar mara 100 kwa siku je wewe na mimi ambao kila saa tunafikiria dunia na kufikiria starehe zake kama mpira, mziki, karata, michezo ya kuigiza, n.k na kusahau kabisa lengo la kuumbwa na huku kila siku umri unakwenda na alama tunaziona zinatuonyesha umri kuondoka kama kuanza kuota ndevu kwa vijana, mvi kwa watu wazima, kungoka meno na kuumwa mgongo kwa watu wazima, sasa hii inatupa taarifa kuwa tumeisha jiandaa saa yoyote malaika wa mauti anaweza akapiga hodi na tuombe kuhairisha mauti ili tufanye mema na kutoa kwa ajili ya Allah lakini itakuwa too late na tutaanza kuwa na imani wakati wa mauti lakini wapi tujuta kwani majuto huja baadaye. Mwalimu Atwibu Athumani ameongelea kuhusu mpira na kupoteza wakati kwenye mpira kiasi kwamba mtu hawezi kutoa sadaka kabla ya kutoa bajeti ya mpira je unapata nini kwenye mipira ya ulaya na hata ya hapa hapa na kuingia ni pesa na muda wa sala unapita na hapo hapo laghawi na mzaha na ushabeki unaingiza maneno machafu na kuharibu murua na tabia njema ya waislamu na kufisha moyo kiasi kwamba mtu hawezi kumsabihi Allah(SW)akiwa kwenye mpirana atafikiria mpira na hata kuanza kutumia simu kuwajulisha marafiki zake na washabiki wenzake kuhusu mpira na matokeo yake na hawezi kuwapigia jamaa na waislamu kuhusu kumcha Allah (SW) iliawe katika waja bora wa kuamrisha mema na kukataza mabaya.
Mwalimu Twaibu Athumani amesema kutoa hata kitu kidogo ni bora kwa sasa kwani Mtume alisema itafika zama hata mtu akitaka kutoa atakosa mtu wa kumpa kwani kila mtu atakuwa tajiri katika siku za mwisho za kukaribia kiyama, kwani sadaka ni muhimu na kulisha maskini pia na mayatima na kuhakikisha kila siku unafanya mema kadiri ya uwezo wako na kuomba Allah(SW) akupe rehema upate mwisho mwema. Mwalimu Twaibu amesema ni muhimu kufanya dhikir kwa kumtaja Allah(SW) kwa dhati kutaja kalima ya Laa ILaha Illa LLAH kadiri ya kurdia angalau mara 200 kwa siku nadhikiri nyinginealizokuwa anafanya Mtume wetu(SAW).

Kusoma Qur'an na kuzingatia yaliyomo ndani ya Qur'an

Qur'an ni kitabu cha Allah na ni ujumbe kwa walimwengu wote, kusoma Qur'an bila kuzingatia yaliyomo inakuwa haina faida ya kweli kwa msomaji kwani Allah(SW) ametoa muongozo wa kuishi duniani kwa mujibu wa taratibu, sheria na kanuni za mfumo mzima wa dini ya uislamu. Allah katuelezea namana ya kuishi hapa ulimwenguni ili tuishi kama waislamu na  bila kusoma Qur'an na kutafakari maana yake hatuwezi kufuata vilivyo taratibu na sheria alizoweka Allah(SW). Wakati wa sala za kutamka kwa sauti kama Ishah, Maghrib, Subuhi na wakati sisi wenyewe tunaposoma Qur'an kuna ujumbe mzito unaosomwa na imamu ndani ya sura za Qur'an kwa maamuma wanaojua maana ya kiarabu na kutafakari anayosoma imamu watabadilika kila siku na kuwa wacha Mungu ikiwa watasali jamaa kila siku, lakini waislamu asilimia kubwa wakiwa kwenye sala na imamu akasoma surah zenye mafunzo hawajui maana ya ujumbe kwasababu hawajui kiarabu na hawataki kujifunza kiarabu ili waweze kujua ujumbe wa Allah(SW). Hii ni sawa na mtu ambaye analamba asali iliyoko kwenye chupa bila kufungua chupa hii ina maana kuwa ukisikiliza Qur'an na kufurahia sauti ya msomaji tu bila kujua maana ya aya zinazosomwa na kuzitafakari ni kama unalamba asali kwenye chupa iliyofungwa mfuniko unalamba juu yake na kusema kuwa umelamba asali! Ukitaka kulamba asali lazima ufunuo mfuniko wea chupa na umimine asali kwenye kijiko na ndo ulambe na usikie utamu wake kweli kweli, kwa hiyo ukitaka kusoma Qur'an na kufaidi ujumbe na kutekeleza yaliyomo kwa vitendo ili upate radhi za Allah(SW) ni kujua maana ya kila aya ya qur'an na kufuatilia ujumbe uliomo ndani yake na kutekeleza hapo utakuwa umefaidika ipasavyo na Allah atakuridhia kwani yeye anajua zaidi nafsi zetu na hapotezi juhudi ya mfanya juhudi muislamu mwanaume na mwanamke

Tiba sahihi ya magonjwa yasiyopata majibu kisayansi ni maombi na madawa ya kunywa na kujipaka.

  • Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
  • Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
  • Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
  • Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
  • Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
  • Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
  • Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
  • Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
  • Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
  • Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
  • Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
  • Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
  • Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
  • Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
  • Kuongea usiku na kupiga kelele
  • Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
  • Kuota uko msituni mara kwa mara
  • Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
  • Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
  • Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
  • Kuota uko makaburini mara kwa mara
  • Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo
  • Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
  • Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
  • Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla

Dalili hizo ni za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini yanayokusumbua ya kiuchawi

Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.

Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.

Dawa nyingine za kunywa ni hizi:

Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.

 MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
  1. POWERFUL OIL
  2. MT32
  3. SAFISHA

MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 

1.POWERFUL OIL

HAYA MAFUTA YANATIBU:

  • KUONDOA NGUVU ZA GIZA
  • KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
  • KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
  • KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
  • KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
  • KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
  • KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32

 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.

UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
  • UCHAWI ULIOKO MWILINI
  • KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
  • KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO 
  • KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
  • MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
  • KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
  • KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO

3.SAFISHA

 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).

Sasa dawa hii ina faida hizi:
  • Kupunguza uzito
  • Kuondoa uchafu tumboni
  • Kusaidia kupata choo
  • Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
  • Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
 KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI

Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.

OFISI YETU

TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM.

Contacts:
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255764041507/+255717147649

Dar es Salaam, Tanzania.

Friday, January 6, 2012

Uislam ndiyo Dini ya Kweli

Uislamu ni dini ya maumbile ya mwanadamu na ukisoma Qur'an utaona inataja mitume wote waliotumwa kuwa ni wa haki na Mtume Muhammad(SAW) ni mtume wa mwisho kutumwa kwa walimwengu wote. Allah(SW) anasema hakuna dini isipokuwa ni uislamu na ndio manabii wote walitumwa nayo na hii dini ya uislamu itashinda dini zote ingawa washirikina na makafiri watachukia. Dini hii inafundisha mwanadamu kumcha Allah(SW) peke yake na bila kumshirikisha na chochote katika ibada, hii inagusa kila mwanadamu kutii amri zake na kutenda yale mazuri anayoridhia Mwenyezi Mungu muumba wa pekee. Qur'an inaongelea maumbile kuanzia mbingu,mwezi, usiku na mchana, milima wanyama, ndege, mvua, wadudu, n.k na hii ni kuonyesha uwezo wa Mwenyezi Mungu muumba na kumuamsha mwanadamu anayekuwa na duku duku kuhusu Mwenyezi Mungu na kulipwa kwa kila jambo alilofanya baada ya kufa, hii ina maana kuingia motoni au kuingia peponi kama amali na rehema za Mwenyezi Mungu zimemfikia ndipo malipo baada ya kufa yatapatikana. Kila jambo hata kama ni dogo kama punje ya ulezi litahesabiwa bila kupunjwa liwe baya au zuri utalipwa kwa kiasi chake, na muda ni mtaji pindi ukiutumia vizuri kama kufanya mambo ya kheri na istighfar na toba ya kweli kwani Mwenyezi Mungu anafurahi kuona mja anagundua kosa lake na kufanya toba ya kweli. Hii inadhihirisha kuwa kila mtu akiwa bado yuko hai anao muda mzuri wa kujirekebisha na kutenda yale mazuri kama kusali, kulisha maskini, kusaidia mayatima, kufanya mambo ya kheri na kueneza dini ya Uislamu kadiri ya uwezo wake ili baada ya kufa awe ameisha fanya Amali za kutosha na Mwenyezi Mungu atamusamehe na kwa rehema yake Mwenyezi Mungu atalipwa pepo ya daraja kubwa.
Dini ya uislamu inadhihirika kuwa ni dini ya kweli kwani hata namna ya kusali waislamu wanavua viatu wanaingia msikitini na kukaa kwa unyenyekevu bila kuimba na kucheza mziki ndani ya msikiti kama wanavyofanya waumini wa dini nyingine wanaoimba na kucheza muziki kwenye nyumba za ibadana huku wamekaa kwenye viti na baada ya hapo wanashikana mikono na waumini wa kike na kiume na huku wengine wanawake wamevaa nguo fupi na suruali zinazobana huku wakionyesha maungo yao kwa wanaume walioko kwenye ibada, je baada ya hapo itatokea nini? Mimi nimeshuhudia siku za jumapili vijana wengi wanafanya appointment zao za kwenda kufanya maasi baada ya kutoka kanisani na kuongea huku wengine wameva mavazi hata ukiyaona huwezi kuamini kuwa huyu alikuwa kanisani na sasa baadhi ya viongozi wa kanisa wameanza kuwafukuza na wengine wanawaambia wasije wameva nguo za nusu uchi kuja kanisani. Katika misikiti huwezi kuona binti au mwanamke amevaa nguo fupi au suruali na flana hii iliishajulikana na kama mtu hawezi yeye mwenyewe anaamua kutokuja na kama anavaa mitaani akija msikitini anavaa stara hata bila kuambiwa. Hii ndio dini ambayo haikuacha kitu bali imetoa muongozo hata wa kuvaa, namna ya kula, kuongea na watu, kuzika, kulala, kutembea, kucheka, kuongea na watu wa rika zote, kusalimiana, kusaidia jamii, kuishi na jirani wa kila dini, kufunga ndoa, kuishi na mwanamke, kulea watoto, kukabiliana na matatizo mbali mbali, kugawa mali za urithi, kufanya biashara, n.k.
Uislamu umeruhusu kuoa wake zaidi ya mmoja kwa maana wake wanne kwa wakati mmoja na hii inaonyesha kuwa dini hii inajali haki za msingi kadiri ya maumbile kwani mpaka sasa wanawake ni wengi duniani kuliko wanaume na hii imepelekea wanawake wengi wakae bila kuolewa na matokeo baadhi ya nchi wamehalalisha biashara ya kuwaruhusu wafanya zinaa kwa kulipwa na matajiri wanfungua miradi na kulipa ushuru huku wakiwatumia mabinti na wanawake katika ufusuka wa hali ya juu kiasi kwamba thamani yake inashushwa kwani anakuja mteja analipa pesa na yeye anapokea agizo la kufanya zinaa basi na kusubiri mwisho wa mwezi mshahara na la ajabu anazini na watu mbali mbali kwa siku. Wanaume wengine hawataki kuoa ila wakitaka wanakwenda kwenye maduka ya kuuza wanawake wanalipa na kuchagua yupi azini naye hata akitaka kumi ni nguvu yake anapata mradi alipe, je hii ni haki ya mwanamke kutumika kwa kila mtu bila hiari na bila ndoa? Uislamu unapinga na kulaani kitendo hiki na kuruhusu mwanamke kuolewa kisheria akapata mwanaume na akazaa na kulea familia katika ndoa ya wake wenzako kwa mujibu wa kiislamu. Sasa baadhi ya madhehebu wamefikia hatua ya kufungisha ndoa wanaume kwa wanaume huku wanawake wapo je hii ni dini ya kweli? wakati Lutu yaani nabii katika sodoma na gomora waliangamizwa kwa sababu hii je wanataka hawa watu Mwenyezi Mungu awafunike na ardhi wawe chini kwa adhabu! Uislamu unapinga usenge na useja na unaamrisha kuoa mke mmoja au wanne kama ukitaka kufanya hivyo, kuna baadhi ya watu wanaamua kufanya zinaa na kuwa vimada yaani nyumba ndogo na kuacha kuoa kwa kuogopa wake zao na wanadamu eti wana wake zaidi ya mmoja huku wakidharau amri ya Mweyezi Mungu ya kutokaribia zinaa na kuoa badala ya kuzini, je nani wa kuogopa wanadamu au Mungu aliyekuumba na akakutoa katika tumbo la mama yako na hali haujui kitu hata nguo unavishwa na kwenda haja unafanya hapo ulipokuwa umelala na hata kama kuna watu huwezi kujua, sasa baada ya Mungu kukuza kakupa fahamu ukaanza kujivisha, kwenda choo mwenyewe kuvaa na kuwa faragha pindi ukiwa umevua? Uislamu hauruhusu mwanamke kuuzwa kama bidhaa ila unaruhusu kuoa wanawake zaidi ya mmoja lakini mwisho wanne, kila inatokea vita wanaokufa vitani kwa wingi ni wanaume na ndo maaskari, biashara na kazi za kusafiri wanaume ndo wengi ikitokea ajali wanakufa wengi na kuzidi kupungua katika jamii basi hii ya kuoa wake wanne kwa mujibu wa uslamu itapunguza wingi wao nao watapata haki ya ndoa badala ya kuwazini tu na kuwafanya chombo cha kila mwanaume kama ilivyo sasa ulaya na pengine penye hali kama hizo za kuwauza wanawake kwa kila mtu anayetaka kuzini nao kwa malipo maalumu. Allah(SW) atujalie tufe tukiwa waislamu na wale ambao hawajagundua dini hii awape mwanga na mwongozo wafuate nuru ya uislamu ambayo ndio dini ya kweli na ya maumbile.
Tiba sahihi ya magonjwa yasiyopata majibu kisayansi ni maombi na madawa ya kunywa na kujipaka.

  • Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
  • Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
  • Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
  • Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
  • Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
  • Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
  • Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
  • Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
  • Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
  • Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
  • Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
  • Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
  • Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
  • Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
  • Kuongea usiku na kupiga kelele
  • Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
  • Kuota uko msituni mara kwa mara
  • Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
  • Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
  • Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
  • Kuota uko makaburini mara kwa mara
  • Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo
  • Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
  • Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
  • Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla

Dalili hizo ni za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini yanayokusumbua ya kiuchawi

Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.

Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.

Dawa nyingine za kunywa ni hizi:

Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.

 MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
  1. POWERFUL OIL
  2. MT32
  3. SAFISHA

MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 

1.POWERFUL OIL

HAYA MAFUTA YANATIBU:

  • KUONDOA NGUVU ZA GIZA
  • KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
  • KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
  • KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
  • KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
  • KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
  • KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32

 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.

UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
  • UCHAWI ULIOKO MWILINI
  • KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
  • KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO 
  • KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
  • MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
  • KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
  • KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO

3.SAFISHA

 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).

Sasa dawa hii ina faida hizi:
  • Kupunguza uzito
  • Kuondoa uchafu tumboni
  • Kusaidia kupata choo
  • Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
  • Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
 KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI

Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.

OFISI YETU

TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM.

Contacts:
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255764041507/+255717147649

Dar es Salaam, Tanzania.

Tuesday, January 3, 2012

Muslims in Kagera region

Muslims in Kagera are struggling to propagate islam in all districts and the result is showing the number of muslims in Kagera is increasing but the problem facing the muslims is how to run madrasah for islamic teachings for their children especially in the villages were the economy is bad. Muslims in Kagera have no dispensaries, hospitals and vocational colleges. Other religions like Roman Catholic, Lutheran, Orthodox, etc have dispensaries, hospitals, vocational colleges, etc and the government assists the christians by funding hospitals, dispensaries, etc. The problems facing muslims now is the segragation being practiced by those officers who are committed for the church while they are working for the nation and being given authority to serve all citizens without segregation in services, some time they use abusive language to communicate with muslims when they go to the government offices for land, education issues, law issues, health issues, etc.
Some times when muslims women are in veil(Hijabu) accoring to islamic teachings a muslim women must put on Hijab for respecting her body and to guard the men who have high sexual urge by seeing special women body parts will be attracted to do zinaa, therefore to minimize the impact is to cover women by hijabu and niqab, those government officers who are committed to the church tend to despise them by abusing them and to command the muslims women to remove niqab in order to get services like bank services, treatment services for their babies, etc.
This must be terminated so that our country will maintain peace and those who will be seen doing so must be told to stop these segregation among citizens of Tanzania.

Msiba wa Sheikh Yusufu Ibrahim Rukokerwa

Inna Lillah wainna ileiy rajiuun, sheikh yusufu ibrahimu Rukokerwa amefariki dunia tarehe 3/1/2012 na kuzikwa kitongoji kagabiro kata kasharu. Sheikh Yusufu ameacha watoto 17 na wajukuu 76 wake wawili na ameugua kipindi cha miaka karibu minne.
Katika msiba huu tumejifunza mambo muhimu kutokana na umri wake wa miaka 90 na uongozi katika dini kama sheikh wa Mtaa kwa miaka karibu 25 na imamu wa msikiti kwa muda mrefu. Mawaidha yametolewa na Ustaz Adinani Sudi kutoka Bukoba mjini, na amesema kila nafsi itaonja mauti kwa mujibu wa Qur'an na kila mtu atalipwa kwa mujibu wa amali alizofanya kabla ya kufa kwake. Sheikh Muhamad kassimu kutoka kyenge naye ameongelea kuhusu kumcha Allah(SW) ili kupata radhi za Allah hatuna budi kumcha yeye peke yake.
Kila mwanadamu akiwa hai lazima afanye hesabu ya matendo yake na ajirekebishe kabla ya saa ya kukata roho ili Allah (SW) aweze kumsamehe kwa rehema yake na siyo kukaa bila kufanya amali akategemea kuwa ataombewa dua wakati wa kuzika na kuswaliwa ndipo Allah atamsamehe, hii si kweli bali kila nafsi itabeba mzigo wake wa kheri au wa madhambi na kupata hukumu kwa mujibu wa amali na hii ikiambatana na rehema ya Allah(SW).