Friday, November 25, 2011

UISLAM NA UMUHIMU WAKE

Kama wewe hujabahatika kuwa muislam na unasikia uislam kwenye vyombo vya habari ni bora usome Qur'an na mafunzo ya mtume ndipo utajua uislam halisi. Jitahidi kufuatilia uislam wewe mwenyewe bila kuangalia waislam wanafanya nini na vyombo vya habari vinasemaje?

OFISI YETU

TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM VINGUGUTI. UKIFIKA BUGURUNI SHEL SHUKA NA UPANDE MAGARI YA KWENDA VINGUGUTI , TELEMKA KITUO CHA POLISI KIITWACHO MTAKUJA. OFISI YETU IPO KARIBU NA NEW KINYUMA HOTEL.
UKIPANDA PIKIPIKI KUTOKA BUGURUNI SHEL NI SH 1,500/= TU KUFIKA OFISINI.

KWA MAELEZO ZAIDI TUMIA MAWASILIANO HAYA:

+255 752822056 ,+255654454398, +255 762219617

Email: tibaherbs@gmail.com

2 comments:

  1. Kweli waislam lazima tusome ndipo tutamcha Allah SW vilivyo, tuache kupoteza muda wetu kwani muda na umri ni mtaji wa kupata radhi za Allah hapa duniani na Akhera

    ReplyDelete
  2. Muslims are brothers and we must assist to educate our brothers who are lazy in acquiring knowledge to struggle to learn the Qur'an and teachings from the Qur'an and Prophetic sayings and actions-Sunna. I am thanking Allah to let me inform you through this blog.

    ReplyDelete

CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA