Friday, November 25, 2011

UMUHIMU WA ELIMU KTK UISLAM

Mtume wetu SAW alilazimishwa kusoma kwa mujibu wa Qur'an, aya ya kwanza ilimtaka asome na hii ina maana kuwa ni wajibu wa kila muislam kutafuta elimun ya dini na ya mazingira kadiri awezavyo ili aweze kumcha Allah SW kwa uhakika na kumudu upinzani wa mbinu za kuupiga vita uislam.

Tafadhali zingatia elimu kuwa ni wajibu kwa waislam wa kike na wa kiume bila ubaguzi kwani ukimpa mama elimu ni kama umeipatia elimu jamii yote.

Mtafuta elimu yenye manufaa Allah anamlaisishia njia na wepesi unapatikana, kwa hiyo umri isiwe kisingizio cha kutosoma dini na elimu zaidi ya mazingira kwani wafuasi wa Mtume SAW wa kwanza walisoma Hadith na Qur'an katika umri wa miaka 50 na zaidi na wakawa wanazuoni. Je wewe na mimi kwa nini tusiwaige?

OFISI YETU

TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM VINGUGUTI. UKIFIKA BUGURUNI SHEL SHUKA NA UPANDE MAGARI YA KWENDA VINGUGUTI , TELEMKA KITUO CHA POLISI KIITWACHO MTAKUJA. OFISI YETU IPO KARIBU NA NEW KINYUMA HOTEL.
UKIPANDA PIKIPIKI KUTOKA BUGURUNI SHEL NI SH 1,500/= TU KUFIKA OFISINI.

KWA MAELEZO ZAIDI TUMIA MAWASILIANO HAYA:

+255 752822056 ,+255654454398, +255 762219617

Email: tibaherbs@gmail.com

1 comment:

CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA