Saturday, August 1, 2015

uchawi washamiri kwa sababu ya husuda, wivu na tamaa ya kupenda mafanikio ya haraka bila juhudi halali

Kutokana na kushamiri kwa ushirikina na vitendo vya kutisha ambapo wanadamu wanatumia kila njia kuwadhuru wenzao kwa sababu kama husuda, tamaa, wivu, roho mbaya na sababu nyingine zisizojulikana kwa waathiriwa.

Shetani Rucifer / Azzazil amepata kundi la watu na kila siku wanamfuata kumtii ili awape nguvu za kishetani kupitia majini, mapepo na mizimu. 

Dalili kuu za kulogwa na kuwa na majini:
  • Kuota ndoto mbaya na za kutisha mara kwa mara kama nyoka, paka, marehemu jamaa mnaongea, nk
  • Kuota unafanya mapenzi mara kwa mara
  • Kuhisi miguu au viungo vya mwili vinawaka moto au joto lisilo kawaida
  • Kuhisi vitu vinatembea mwilini na tumboni
  • Kuhisi njaa mara kwa mara hata umepima minyoo huna wala mimba huna kama ni mwanamke
  • Kusikika unazunhgumza na watu umesinzia usiku
  • Kustuka na kutingishika ukikaribia kulala au kupata usingizi
  • Kuhisi sauti kichwani kama za ndege au filimbi au za watu
  • Kukata tamaa ya maisha na kuona huna la kufanya maishani
  • Kuvimba sehemu za mwili bila sababu ya wazi
  • Macho kuwa na ukungu bila sababu ya wazi
  • Kutoona darasani na ukitoka nje unaona vizuri
  • Kushindwa kukaa ofisini kwa amani au kukaaa dukani kwako kwa amani
  • Watu kukuchukia bila sababu
  • Kuchukia ndoa na kuona hakuna haja
  • Kupenda kukaa pekee yako na kupenda giza
  • Kuchoka kila asubuhi ukiamka na ukipima huna malaria, taifodi, nk
  • Kuchanjwa mwili au kuwa na mikwaruzo ukiamka
  • Kukosa amani na kuwa mwoga bila sababu
  • Kukosa choo na kuhisi tumbo kuna vitu vinatembea
  • Kusinzia darasani mara kwa mara au ofisini
  • Kupoteza fahamu ukiwa kazini au darasani na kusahau uko wapi kisha unastuka na kugundua hilo
  • Mtoto kuchukia masomo na kuwa na kiburi ghafla kwa kila mtu na hata wazazi wanashangaa tabia mpya
  • Kuchomwa vichomi kama sindano mwilini





 PATA POWERFUL SOAP UWE UNAOGA UTAONA MATOKEO MAKUBWA KIAFYA NA KIMAISHA KWANI IMETENGENEZWA KWA KUTUMIA MADAWA NA MAFUTA MAALUM YA KUONDOA ATHARI ZA KIUCHAWI NA NGUVU ZOTE ZA GIZA ZINAZOONGEZEKA KILA SIKU. WEWE NI KUOGA TU KILA SIKU NA UTAPATA MATOKEO MAZURI KIAFYA NA NGUVU MPYA NA MORI VITAPATIKANA KWA UWEZO WA MUNGU WA PEKEE ALIYEUMBA KILA KITU.

Wachawi wanawaloga watu kama kuwatumia majini na kuwatega madawa kwa msaada wa majini au mashetani yenye mkataba na mchawi kiasi kwamba mtu anaweza kupata matatizo ya kiuchawi bila kutambua

No comments:

Post a Comment

CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA