MAELEZO KWA MWALIMU
Vidokezo vya
kiislaamu (Islamic Perspective)
Maelezo
yategemea kiasi cha elimu ya mtu. Lengo
la elimu; ni
(A’llamal
Insaana Maalam Yaa’lam)
Tafsiri:
Kumfunza mwanadamu lile
asilolijua.
Wazazi na walezi
wamekukabidhi watoto wao
kwa ajili ya
kuwafunza mafunzo ya kiislamu kwa
hivyo lazima uhisi
wadhifa na jukumu
lililo juu yako
na ulitekeleze kwa
moyo safi na
kujitolea.
Kumfanya motto kuwa
muislamu mzuri mzuri ni lazima kujengwa
kwa mafunzo mazuri
na malezi mazuri.
Mwalimu wa
Kiislamu (The Muslimu
Ustaadh)
* Msingi mkubwa
katika kufunza ni huruma
(mapenzi) ya mwalimu
kwa mwanafunzi.Ni muhimu
mwalimu amuelewe mwanafunzi
wake na atumie
njia zenye kumfanya
apate maelewano na
mwanafunzi. Vilevile ni
muhimu kukaa na
mwanafunzi vizuri na
kumsaidia kuyazoea mazingira ya
madrasa.
* Mwalimu kuwepo
mapema katika Darasa
kabla wanafunzi hawajafika
ni muhimu katika
kufundisha. Mwalimu kwa
uangalifu aondoke sehemu
ya kufundishia baada ya
wanafunzi kuondoka.
Lugha ya
kuwasiliana (Instruction Medium)
Pendelea kufunza
kwa lugha ambayo
inaeleweka vizuri ili
masomo yaeleweke vyema.
Kiswahili, Kiurdu, au
gujarati zina maneno mengi
ya kiarabu na
yatokayo kwenye Qur-aan.
Kwa
hiyo itakuwa ni
busara kutumia moja
ya lugha hizi
kama njia ya
mawasiliano. Njia hii
itawezekana ikiwa makundi yatakuwa yakihudhuria
masomo katika madrasa
(lugha nyingine zaweza
kutumiwa ikiwa lengo ni
mwanafunzi apate kuel;ewa somo
vizuri).
Katika kufundishwa
kiarabu mwalimu apendelee
sana kutoa mifano
ya Qur-aan na
hadith kuliko kutoa mifano
ya hekaya za
vitabuni.
Mwalimu kwanza
afunze somo kwenye
ubao kabla ya
mwanafunzi kutumia kitabu.
Mwanafunzi lazima aelewe
kikamilfu somo allilofunzwa
na alitwalii kabla ya
kufunzwa somo jingine.
Mwanafunzi lazima aelewe herufi
na maneno kwa
urahisi kabla ya
kusoma sentensi yote.
Mwanafunzi
wa Darasa la
pili afunzwe kutaja
jina la Allah
na alitamke kwa
uzuri.
Ikiwa matokeo
ya mwanafunzi sio
mazuri mwalimu ashauriane
na wazazi au
walezi au walimu
wenzake juu ya
njia gain zitumike. Hii ni
muhimu haswa katika kusoma
Qur-aan.
Mwanafunzi na
Usafi wa darasa
(Pupils and classroom
cleanliness)
Mwanafunzi kwa
makini ahakikishe darasa
liko katika hali
ya usafi na
ikiwezekana kupamba kwa
makaratasi ya mafunzo
katika ukuta.
Mara kwa
mara mwalimu aangalie
usafi wa darasa
na mwanafunzi kuwa
twahara na vilevile msahafu, vitabu vya
kusoma, Juzdaans (mfuko) na daftari
vyote view katika
hali ya usafi.
Malezi ya kiislamu( kutengeneza Tabia)(Islamic Tar-biyah)
Ni muhimu
kwa mwalimu mwalimu kuzichunguza
tabia za mwanafunzi.
Jambo hili ni
muhimu kwa ajili
ya kukuza ufahamu wa
mwanafunzi. Kukithirisjwa ili
motto kuwa na
malezi ya kiislamu
katika wakati wote hususan nje
ya madrasa , nyumbani
na mazingira mengine.
Ni
jukumu la mwalimu
kuangalia kila siku
kama mwanafunzi ameziswali
swala tano za faradhi.Hii
inawezakufanywa kwa kumpa
kila mwanafunzi daftari
ambalo mzazi atasaini
kila siku na
mwalimu angalie. Mpangilio
ufanywe kwa swala
ya Asw-r isaliwe chini
ya usimamizi wa
mwalimu. Tabia ya kuswali
vizuri na kwa
wakati unaotakiwa ni
muhimu.
Tabia ya mwalimu iwe
ni nzuri ili
ipate kuwa mfano
kwa mwanafunzi. Ni
lazima ieleweke kwamba
kila jambo wanafunzi
wanaiga kwa mwalimu
wao kwani kila
jambo analosema wanafunzi wanaiga, vilevile kwa
harakati yoyote aifanyayo mwalimu wanafunzi huiga.
Mwalimu
kwa njia ya dua kila
siku aombe mema
au maendeleo ya
wanafunzi wake katika
darasa na pia
aombe kwa Allah
kustawi kwa madrasa,
maendeleo yake na
usalama wake.
Lazima
achunguze kipawa au uwezo wa
kila mwanafunzi na
awagawe kwa makundi
na kasha apange
masomo yao.
Tiba sahihi ya magonjwa yasiyopata majibu kisayansi ni maombi na madawa ya kunywa na kujipaka.
Dalili hizo ni za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini yanayokusumbua ya kiuchawi
Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.
Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.
Dawa nyingine za kunywa ni hizi:
Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.
MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA.
1.POWERFUL OIL

HAYA MAFUTA YANATIBU:
DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.
UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
3.SAFISHA
Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).
Sasa dawa hii ina faida hizi:
Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.
TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM.
Tiba sahihi ya magonjwa yasiyopata majibu kisayansi ni maombi na madawa ya kunywa na kujipaka.
- Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
- Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
- Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
- Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
- Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
- Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
- Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
- Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
- Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
- Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
- Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
- Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
- Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
- Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
- Kuongea usiku na kupiga kelele
- Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
- Kuota uko msituni mara kwa mara
- Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
- Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
- Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
- Kuota uko makaburini mara kwa mara
- Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo
- Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
- Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
- Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla
Dalili hizo ni za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini yanayokusumbua ya kiuchawi
Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.
Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.
Dawa nyingine za kunywa ni hizi:
Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.
- POWERFUL OIL
- MT32
- SAFISHA
MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA.
1.POWERFUL OIL
HAYA MAFUTA YANATIBU:
- KUONDOA NGUVU ZA GIZA
- KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
- KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
- KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
- KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
- KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
- KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.
UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
- UCHAWI ULIOKO MWILINI
- KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
- KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO
- KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
- MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
- KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
- KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO
3.SAFISHA
Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).
Sasa dawa hii ina faida hizi:
- Kupunguza uzito
- Kuondoa uchafu tumboni
- Kusaidia kupata choo
- Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
- Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.
OFISI YETU
TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM.
Contacts:
Email: tibaherbs@gmail.com
+255764041507/+255717147649
+255764041507/+255717147649
Dar es Salaam, Tanzania.
No comments:
Post a Comment
CHANGIA MAWAZO YAKO/USHAURI KWA MANUFAA YA JAMII. UNA MAWAZO YAKO NA YANAWEZA KUWA NA MANUFAA YATOE TAFADHALI. KARIBU SANA