Tuesday, July 31, 2012

Guidance for Muslim Teacher


NOTES   FOR THE USTAADH

Islamic Perspective

*                Progress depend on the education of mankind. The object of education is:

             A’llamal insaana maa lam yaa’lam
Translation:  Taught  man  that  which  he  knows  not.(Aa’yah  5  suuratul Alaq).

*                The  parents  and  guardians  have  entrusted  their  child  to  you   for  his/her  Islamic  education.  Therefore, recognize and shoulder your responsibility with sincerity and dedication.
     
     *                 The  child’s  potential  to  became  a  good  Muslim   should  be  cultivated  by  correct  education  and  proper  upbringing.

The Muslim Ustaadh                
*                 A  fundamental  factor in  education  is  love  for  the  child  by  the  tutor. Understand  your  pupil  and  employ  such  methods  which  are  best  in  obtaining  co-operation  from  the  child . It  is  important  to  keep  the  child’s  mind  at  ease  and  to assist  the  scholar  to  adapt  the  environment  of  the  Madrasah.

*                 The  Ustaadh’s  early  present  in the  classroom  before  the  arrival   of  the  pupils  is    vital  in  Ta’ liim.  The   Ustaadh  shall  with  great  care,  only  leave  the  place  of  learning  after  the  pupils  have  left. 

*                 The  Asaatiethah  conduct  should  be  exemplary  so  that  it  may  be  emulated  by  students.  It  must  be  remembered that  the  children  are  observant  of  even  the  minutest  act  of  the  Asaatiethah.  They are also alert and observe what he/she utters.  Therefore,  whichever  approach the   Ustaadh  adopt,  it  will  be  followed  by  the  pupils.  
   
*                 The  Ustaadh must  by  means  of  dua’a  daily,  beseech  the betterment  and  uplift  of all  the  pupils  in  class, and  also  continuously seek from Allah  the  establishment  of  that  Madrasah,  it’s progress  and  safety.

*                 Assess the  capabilities  of  pupils  and  form  appropriate  groups, then plan  a  program  of  their  education.


Instruction Medium 

*Prefer  to  teach in the  local  language  so that  the  subject  could  be  well  understood.  Swahili,  Urdu, and  Gujarati have  a  great  number  of  Arabic  words  of  the  Qur-aan. Therefore, it  would  be  advisable  and  parent  to  use  one  of these  languages  as  the  chosen  medium  of  instruction.  This  aspect is only  applicable  where  the  appropriate  and relative  group  of  pupils  are  attending  classes  at  the  Madrasah  (i.e.  most  other languages  may  however, be  freely  used  where  these  will  satisfactorily convey  meanings  to  achieve  the  object  of  Ta’liim)

*  In teaching  Arabic,  preference  should  be  given  to  matters  from  the  Qur-aan  and  Hadieth over  matters  from story  books.

   Ta’liim
    
      *    The  pupils  should  be  taught  in  a  manner  which  will  develop  in the  ability  to  learn  and  understand   their  lessons.
     
*  The  Ustaadh  should  be  taught  first  teach  the  lesson  on  the  blackboard  before  the  child  uses  the  Kitaab. The learner must fully understand and thoroughly revise this lesson before being taught any new lesson. The  pupil  must  learn to  recognize letters  and  words  easily  and  quickly  before  he  or  she  reads  any  complete  sentence.

*   Pupils in class one (1) should first be taught to read the word Allah and pronounce it correctly.

*   Where  a  pupil’s  progress  is  retarded  or  not  up  expectation, the Ustaadh  should  discuss  the matter  with  his experienced colleagues, the  respective  parents/guardian  or  any  qualified, recognized person. (This is important in the fluency of reading Qur-aan).

       
Pupils and Classroom Cleanliness


*   The  Ustaadh  shall  with  care  see  that  the  classroom  is  kept  neat  and  clean,  and  where  possible  decorate  the  room  with educational  charts.

*   A  constant  check must  be  kept  on the  cleanliness  and  Twahaarah  of  the pupils,  and  also  the  neatness  of  their  Qur-aans, Kitaabs, Jouzdaans  and  books.

    Islamic Tar-biyyah
(Character moulding)

*          It  is  necessary  for  the  Ustaadh  to  give  attention  to  the  character  and  habits  of  the pupils.  This aspect should be continually emphasized and monitored  just  as much  one  would  Endeavour  in   improving  the  comprehension  and  understanding  of  the  child.  An  effort  must  be  made  for the  young  learners  to  have  and  to conduct  themselves  according to  the  Islamic  Shari-a’h  at all  times,  especially  out  of  Madrasah hours,  when  at home  or  even elsewhere.

*          It is  the  duty of  the Ustaadh  to  keep  a  daily  check  of  whether the  children  have  performed   their  daily five faradh  salaah  (i.e.  During the previous day). This  could be  effectively  done  by  each child  having  a book  that is  signed by  the parents  daily  and  checked  by  the  Ustaadh. Arrangements must be made in every Madrasah for the A’swil prayer to be performed in the presence of the Ustaadh.  The  habit  of performing  Prayer  correctly  and  punctually  from  childhood  is   very  important.  


               

mwongozo kwa mwalimu wa kiislaam


MAELEZO KWA MWALIMU

Vidokezo vya kiislaamu (Islamic Perspective)
           Maelezo yategemea kiasi cha elimu ya mtu.  Lengo la elimu; ni
                  (A’llamal Insaana Maalam Yaa’lam) 
Tafsiri:  Kumfunza  mwanadamu  lile  asilolijua.

Wazazi na  walezi wamekukabidhi  watoto  wao  kwa  ajili  ya  kuwafunza  mafunzo ya  kiislamu kwa  hivyo  lazima  uhisi  wadhifa  na  jukumu  lililo  juu  yako  na  ulitekeleze  kwa  moyo  safi   na  kujitolea.

Kumfanya  motto  kuwa  muislamu  mzuri  mzuri ni lazima  kujengwa  kwa  mafunzo  mazuri  na  malezi  mazuri.


Mwalimu  wa  Kiislamu  (The  Muslimu  Ustaadh)
*          Msingi  mkubwa  katika  kufunza ni  huruma   (mapenzi)  ya  mwalimu  kwa  mwanafunzi.Ni  muhimu  mwalimu  amuelewe  mwanafunzi  wake  na  atumie  njia  zenye  kumfanya  apate  maelewano  na  mwanafunzi.  Vilevile  ni  muhimu  kukaa  na  mwanafunzi  vizuri  na  kumsaidia  kuyazoea  mazingira ya  madrasa.

*          Mwalimu  kuwepo  mapema  katika  Darasa  kabla  wanafunzi  hawajafika  ni  muhimu  katika  kufundisha.  Mwalimu  kwa  uangalifu  aondoke  sehemu  ya  kufundishia baada  ya  wanafunzi kuondoka.


Lugha  ya  kuwasiliana  (Instruction Medium)

             Pendelea  kufunza  kwa  lugha  ambayo  inaeleweka  vizuri  ili  masomo  yaeleweke  vyema.  Kiswahili,  Kiurdu,  au  gujarati zina  maneno  mengi  ya  kiarabu  na  yatokayo  kwenye  Qur-aan.

            Kwa hiyo  itakuwa  ni  busara  kutumia  moja  ya  lugha  hizi  kama  njia  ya  mawasiliano. Njia  hii itawezekana  ikiwa  makundi yatakuwa  yakihudhuria  masomo  katika  madrasa  (lugha  nyingine  zaweza  kutumiwa ikiwa  lengo  ni  mwanafunzi  apate kuel;ewa  somo  vizuri).

            Katika  kufundishwa  kiarabu  mwalimu  apendelee  sana  kutoa  mifano  ya  Qur-aan  na  hadith kuliko  kutoa  mifano  ya  hekaya  za  vitabuni.

            Mwalimu  kwanza  afunze  somo  kwenye  ubao  kabla  ya  mwanafunzi  kutumia  kitabu.  Mwanafunzi  lazima  aelewe  kikamilfu  somo  allilofunzwa  na  alitwalii  kabla ya  kufunzwa  somo jingine. Mwanafunzi  lazima aelewe  herufi  na  maneno  kwa  urahisi  kabla  ya  kusoma  sentensi  yote.

            Mwanafunzi wa  Darasa  la  pili  afunzwe  kutaja  jina  la  Allah  na  alitamke  kwa  uzuri.

            Ikiwa  matokeo  ya  mwanafunzi  sio  mazuri  mwalimu  ashauriane  na  wazazi  au  walezi  au  walimu  wenzake  juu  ya  njia  gain zitumike.  Hii  ni muhimu haswa  katika  kusoma  Qur-aan.

Mwanafunzi  na  Usafi  wa  darasa  (Pupils  and  classroom  cleanliness)
                        Mwanafunzi  kwa  makini  ahakikishe  darasa  liko  katika  hali  ya  usafi  na  ikiwezekana  kupamba  kwa  makaratasi  ya  mafunzo  katika  ukuta.

            Mara  kwa  mara  mwalimu  aangalie  usafi  wa  darasa  na  mwanafunzi  kuwa  twahara  na vilevile  msahafu, vitabu  vya  kusoma,  Juzdaans (mfuko) na  daftari  vyote  view  katika  hali  ya  usafi.


Malezi  ya  kiislamu( kutengeneza  Tabia)(Islamic  Tar-biyah)
     
        Ni  muhimu   kwa  mwalimu  mwalimu  kuzichunguza  tabia  za  mwanafunzi.  Jambo  hili  ni  muhimu  kwa  ajili  ya kukuza  ufahamu  wa  mwanafunzi.  Kukithirisjwa  ili  motto  kuwa  na  malezi  ya  kiislamu  katika wakati wote  hususan  nje  ya  madrasa ,  nyumbani  na  mazingira mengine.

        Ni  jukumu  la  mwalimu  kuangalia  kila  siku  kama  mwanafunzi  ameziswali  swala  tano za  faradhi.Hii  inawezakufanywa  kwa  kumpa  kila  mwanafunzi  daftari  ambalo  mzazi  atasaini  kila  siku  na  mwalimu  angalie.  Mpangilio  ufanywe  kwa  swala  ya  Asw-r isaliwe  chini  ya  usimamizi  wa  mwalimu. Tabia  ya  kuswali  vizuri  na  kwa  wakati  unaotakiwa  ni  muhimu.
        
         Tabia ya  mwalimu  iwe  ni  nzuri  ili  ipate  kuwa  mfano  kwa  mwanafunzi.  Ni  lazima  ieleweke  kwamba  kila  jambo    wanafunzi  wanaiga  kwa  mwalimu  wao  kwani  kila  jambo  analosema    wanafunzi  wanaiga, vilevile  kwa  harakati  yoyote aifanyayo  mwalimu wanafunzi huiga.

        Mwalimu  kwa  njia  ya  dua  kila  siku  aombe  mema  au  maendeleo  ya  wanafunzi  wake  katika  darasa  na  pia  aombe  kwa  Allah  kustawi  kwa  madrasa,  maendeleo  yake  na  usalama  wake.

       Lazima  achunguze  kipawa au  uwezo  wa  kila  mwanafunzi  na  awagawe  kwa  makundi  na  kasha  apange  masomo  yao.


Tiba sahihi ya magonjwa yasiyopata majibu kisayansi ni maombi na madawa ya kunywa na kujipaka.

  • Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
  • Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
  • Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
  • Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
  • Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
  • Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
  • Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
  • Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
  • Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
  • Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
  • Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
  • Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
  • Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
  • Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
  • Kuongea usiku na kupiga kelele
  • Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
  • Kuota uko msituni mara kwa mara
  • Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
  • Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
  • Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
  • Kuota uko makaburini mara kwa mara
  • Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo
  • Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
  • Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
  • Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla

Dalili hizo ni za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini yanayokusumbua ya kiuchawi


Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.

Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.

Dawa nyingine za kunywa ni hizi:

Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.


 MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
  1. POWERFUL OIL
  2. MT32
  3. SAFISHA

MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 

1.POWERFUL OIL


HAYA MAFUTA YANATIBU:

  • KUONDOA NGUVU ZA GIZA
  • KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
  • KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
  • KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
  • KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
  • KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
  • KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32

 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.

UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
  • UCHAWI ULIOKO MWILINI
  • KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
  • KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO 
  • KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
  • MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
  • KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
  • KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO




3.SAFISHA

 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).

Sasa dawa hii ina faida hizi:
  • Kupunguza uzito
  • Kuondoa uchafu tumboni
  • Kusaidia kupata choo
  • Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
  • Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
 KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI

Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.

OFISI YETU

TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM.

Contacts:
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255764041507/+255717147649

Dar es Salaam, Tanzania.