Bukoba IDD imesaliwa siku ya Tarehe 8/8/2013 na 9/8/2013 Hotuba ya Msikiti wa Ijumaa imesomwa na Sheikh wa Wilaya na pia yeye ni Kaimu Sheikh Mkuu-Bakwata Mkoa wa Kagera na ni Imamu Msikiti Bilele Bukoba Manispaa. Katika Hotuba hiyo amesisitiza mshikamano miongoni mwa waislam na Raia wa Tanzania kwa ujumla. Ameongelea kutogawanyika kwa mambo madogo miongoni mwa waumini.
Jana Sheikh Athumani alisoma Hotuba katika viwanja vya kashai Shule ya Msingi akisisitiza ucha Mungu na kujihesabu nafsi kabla ya mauti na kujitahidi kufanya mambo ya kheri na kuendelea kufanya hivyo hata baada ya funga ya mwezi wa Ramadhani. Ilifanyika harambee ya sekondari pale uwanjani ikiongozwa na Ustaz Faraji.

WhatsApp :+255621870342. Muabudu Mungu mmoja wa Pekee na hana mshirika, Hakuna Mtume aliyetumwa kama Mungu wala Mwana wa Mungu. (Qur'ani) Al Imran 3.31,Yohana 7.16-18. Shetani na kundi lake miongoni mwa wanadamu amejizatiti kuwapotosha watu kupitia shida mbali mbali. Imani kuhusu Mungu mmoja wa pekee ndo suluhisho la kudumu na kuishi na matumaini hapa duniani. Wasiliana nasi upate ushauri na tiba WhatsApp :+255621870342, Email: tibaherbs@gmail.com, +255 762053174