Sunday, December 23, 2012

Kifo na maisha baada ya kufa

Kila kiumbe hai ufariki na kuwa katika ulimwengu mwingine ambao tunaweza kuuita ulimwengu wa roho, kwa hiyo mwanadamu ni kiumbe hai na anaishi duniani akiwa na mwili na roho.

Mwili tunauona na roho ya mwanadamu haionekani kwa macho ila inatambulika kwa dalili kuwa iko ndani ya mwili kwa hiyo roho ikitoka mwili unakosa uhai na tunasema amefariki, hii inaonyesha kuwa mwili ni kama vazi la roho na mwili siyo mtu halisi ila mtu halisi ni roho/nafsi yake na ndo anaweza kuongoea, kutembea, kula, kushika n.k lakini roho ikitoka yote yanasimama na mwanadamu hawezi kuongea, kutembea wala kuhisi njaa. Mfano wa umeme na taa(BULB) unaweza kutupa picha halisi kwa sababu umeme tunao uona nyumbani ukidhihirika kwenye taa huwezi kuuona kwenye waya ya umeme unasafiri na wala ile bulb siyo umeme ila bulb inathibitisha kuwa umeme upo na chanzo chake kipo hata kama chanzo ni mbali sana na nyumbani kwako unauona bulb ikiwaka kuwa umeme upo na umeme ukikatika bulb haiwaki na hapo tunapata picha kuwa umeme umekatika au bulb imeungua na kufa. Bulb kuungua na kufa si kwamba umeme haupo umeme unakuwepo lakini bulb imekufa na haiwaki ingawa umeme upo wa kutosha basi hii ni ushahidi kuwa mwili wa mwanadamu ni kama bulb kwani roho kujua kuwa ipo ni kuona mwili unafanya kazi na mtu anapumua kamili na roho ikikata mwili unakuwa hauna kazi na ndo kifo cha mwanadamu lakini roho yake haifi na inaingia katika ulimwengu wa roho.

Je mwanadamu akifa anakuwa hajui kitu?

Hapana, mwanadamu akifa roho yake inabaki na sifa za utambuzi mkuu wa kiroho na inaona kila jambo linalotendeka duniani wakati wa kuosha mwili wa marehemu na kuzika na mengineyo ila roho inakuwa haina vazi ambao ndo mwili ili tuweze sisi kuiona roho mpaka ivae vazi la mwili wake. Roho inakuwa imeishaona kila kitu katika ulimwengu wa roho na hapo imani kuhusu Mungu muumba inakuwa kubwa kwa roho lakini haiwezi kurudi kutekeleza mambo ya ibada kama kusali, kutoa zaka, sadaka na mengine mazuri na hata kutoa toba kwani kama mwanadamu alipokuwa hai hakufanya akisha kufa inakuwa basi amali za kufanya akiwa hana mwili wake zinakuwa hazina nafasi tena ila inabaki thawabu za yale alizofanya akiwa hai tu kama visima vya maji, kujenga vituo vya mayatima, misikiti, watoto wake wema wanaomuombea dua, elimu yenye manufaa kwa watu aliyofundisha au vitabu alivyotunga vikanufaisha watu.

Mwanadamu akiwa amelala usingizini na anaota ndoto anakuwa hajui kama anaota wa kama amelala lakini mwanadamu akifa anajua kuwa amekufa na anatambua kila kitu katika hali yake ya roho, aliyesinzia na anaota anafanya kazi zake au anakula pilao na yuko anaonaongea na mwingine anaota anaendesha gari huku akiwa hajui kuwa anaota kuna funzo gani?
Funzo la usingizi na ndoto nzuri au za kutisha ni kuwa usingizi ni mfano wa kifo cha muda na hii inaonyesha mwanadamu kuwa roho ndo yeye na roho inatembea na inakuwa na sifa zote za kibinadamu kwani unapokuwa usingizini si unakuwa umelala kitandani na wakati mwingine umezima taa na umejifunika blanketi, sasa hii kuendesha gari kutembea inakuwaje na hii kula kuongea na watu kusafiri inakuwaje kwenye ndoto, hii kufukuzwa na nyoka, adui, kuanguka kutoka juu, kupata ajali na kuogopa ndotoni ina maana gani?

Ndoto ya raha ni kuonyesha mtu aliye hai kuwa ukifa Mungu amekusamehe na ulikuwa mtu mwema utakuwa na raha hata baada ya kufa na ukaingizwa kaburini utakuwa na raha kama mtu unaposinzia ukaota vizuri mpaka ukapata raha isiyokuwa na mfano, ndoto wakati wa usingizi na ukapata shida nyoka, wanyama, ajali, njaa na ndoto za kutisha zote Mungu anakupa mfano kuwa ukifa wewe ukiwa mtu mwenye maasi na umekufa hujasmehewa na Mungu basi utakuwa na shida baada ya kufa na mateso makubwa ndani ya kaburi kipindi chote mpaka siku ya kiyama na hapo adhabu zitaongezeka.

Unashauriwa kuanzia sasa ulete toba na utii amri za Mwenyezi Mungu kwa imani ya kweli na uache ushirikina, fitina, na tabia mbaya na umche Mwenye Mungu mmoja pekee asiyekuwa na mshirika. Uaminini mitume wote kuwa walitumwa na Mungu kueneza neno na utukufu wake Mola Muumba na Muhammad(SAW) ni mtume wake wa mwisho kutumwa duniani.

Tiba sahihi ya magonjwa yasiyopata majibu kisayansi ni maombi na madawa ya kunywa na kujipaka.

  • Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
  • Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
  • Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
  • Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
  • Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
  • Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
  • Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
  • Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
  • Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
  • Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
  • Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
  • Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
  • Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
  • Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
  • Kuongea usiku na kupiga kelele
  • Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
  • Kuota uko msituni mara kwa mara
  • Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
  • Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
  • Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
  • Kuota uko makaburini mara kwa mara
  • Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo
  • Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
  • Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
  • Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla

Dalili hizo ni za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini yanayokusumbua ya kiuchawi

Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.

Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.

Dawa nyingine za kunywa ni hizi:

Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.

 MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
  1. POWERFUL OIL
  2. MT32
  3. SAFISHA

MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 

1.POWERFUL OIL

HAYA MAFUTA YANATIBU:

  • KUONDOA NGUVU ZA GIZA
  • KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
  • KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
  • KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
  • KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
  • KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
  • KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32

 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.

UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
  • UCHAWI ULIOKO MWILINI
  • KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
  • KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO 
  • KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
  • MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
  • KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
  • KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO

3.SAFISHA

 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).

Sasa dawa hii ina faida hizi:
  • Kupunguza uzito
  • Kuondoa uchafu tumboni
  • Kusaidia kupata choo
  • Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
  • Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
 KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI

Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.

OFISI YETU

TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM.

Contacts:
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255764041507/+255717147649

Dar es Salaam, Tanzania.

Thursday, December 6, 2012

Namna ya kupata Ndoa yenye Furaha-Mke na Mme kuishi kwa furaha

Dunia nzima kuna kilio cha wanandoa kila kukicha na hii inasababishwa na mambo mengi miongoni mwa wana ndoa.

Kwa muhtasari ni haya yafuatayo:
  1. Kutojua lengo mahsusi la ndoa
  2. Kulaumiana mara kwa mara`
  3. Kukosa uaminifu katika ndoa hasa kwa wanaume kupenda kutembea nje ya ndoa sana wakati wakiwa safarini au mbali na wake zao
  4. Kuona wanawake wapya na kusahau kuwa wake zao wana thamani kuliko wake wanawaona wapya na wazuri usoni mwao kumbe ni kiini macho na ushawishi wao
  5. Tamaa na maisha kuwa magumu
  6. Kujichanganya na watu wenye tabia mbaya za kupotosha na wakawa marafiki wa karibu kwa mume na mke
  7. Wanawake kukabidhi majukumu ya nyumbani kwa wafanyakazi wa ndani mabinti kiasi kwamba chai, chakula na hata kutandika kitanda ni mfanyakazi wa ndani
  8. Huduma muhimu ya mume na mke kufanywa kama ni hiari na si lazima hii nina maana mwanaume kutopenda kumridhisha mke wake kitandani na mwanamke kutofanya maandalizi ya kumfanya mwanaume apende kuwa karibu naye hasa mapema jioni baada ya kazi
  9. Kauli ya kuudhi endapo mwanaume atashindwa kukidhi mahitaji muhimu kama nguo za mke, watoto, sikukuu, shule yenye gharama na n.k
  10. Mwanaume kumjibu mke wake vibaya endapo ataambiwa tatizo la nyumbani na huku hana fedha kama linahitaji pesa
  11. Kukata tamaa ya maisha kwa mume na mke inachangia sana kuchukiana na kuachana mara nyingi
  12. Kudharau jamaa wa pande zote mbili yaani kwa mke na mme ni hatari sana katika wana ndoa wawili
  13. Kulaumu mara kwa mara mmojawapo akikosea kidogo tu na hata akisahau kidogo basi lawama zinazidi
  14. Kuagiza mwenza kwa lazima na hata bila kumsikiliza hoja zake ili afanye jambo unalotaka wewe.
  15. Kutotimiza wajibu ipasavyo kwa yoyote kwenye familia watoto, wageni wa mume au mke, na kujali kwa ujumla miongoni mwao
  16. Mume au Mke akiwa na Mawazo mengi ukamuuliza asikwambie muache kwanza atulie usimlaumu wa kumuhoji zaidi ya mara tatu kama ukiona hayuko kawaida, basi akitulia atakuwa sawa na atakwambia tatizo. Hii inatoa muda wa yule mwenye tatizo ikiwa ameona asimueleze mwenzie kutuliza ubongo na kutafakari kama yeye muachie nafasi atafakari kama yeye bila kumsaidia kama atakuwa hajataka hivyo kwani ukilazimisha sana atavurugika zaidi na utamfanya aongeze muda wa kufikiri na kutoeleweka zaidi.